TBS Bandarini kichaka cha upigaji

TBS Bandarini kichaka cha upigaji

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ukaguzi wa magari (imported) Sasa unafanyika nchini tofauti na mwanzoni. Sasa Hawa ndugu zetu wameamua kucheza na beat ili kuvuna. Inspection tests (report) zinaandikwa"FAIL" ili ujiongeze, ukijidai Nunda utajuta kuwafahamu. Asanteni, ila mtafika mkiwa mmechoka sana
 
Ukaguzi wa magari (imported) Sasa unafanyika nchini tofauti na mwanzoni. Sasa Hawa ndugu zetu wameamua kucheza na beat ili kuvuna. Inspection tests zinaandikwa"FAIL" ili ujiongeze, ukijidai Nunda yatakukumba ya Kwa msisi. Asanteni, ila mtafika mkiwa mmechoka sana
Bravo,mada kama hizi ndio zinalifanya jukwaa hili liheshimiwe.

Whistle blowers paradise JF yaani.
 
Aliye leta huu mfumo sijui alikusudia nini. Kuna nchi zina wakaguzi waoJapan ambapo ndipo asilimia kubwa ya magari hutoka. Mfano Intertek Mozambique. Kama serikali ilikusudia kujipatia mapato makubwa ya ada za ukaguzi, basi wangepeleka wataalam wake huko waweke center zao za ukaguzi. Gari ikikaguliwa kulekule ika fail inspection mteja unakua na option ya kuchagua gari nyingine, ikikaguliwa hapa nchini ika fail inspection inakulazimu tuu utoe rushwa ili upewe gari yako
 
Haya ndiyo mambo yamayofanya Prof Assad awaite watu mazuzu, yaani wazo la kiboya kweli kweli.
 
Kwa taarifa Yako, wale wakaguzi wa nje (maajenti) ndio walikuwa wapigaji sana!
Wazungu ni wajanja sana.
Kikubwa kilichokuwa kinatakiwa ni document tu! Iambatane na Shipping documents kwa ajili ya kutolea mzigo. Kulikuwa hamna cha inspection wala nini!!
 
Back
Top Bottom