TBS CERTIFICATE: Yakazi gani dukani wakati duka sio kiwanda au mali ya kiwanda.

Street Hustler

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
2,175
Reaction score
4,299
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani?

Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
 
"Matajiri hawalipi Kodi ,maskini ndio walipa kodi" Robert Kiyosaki
 
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani?

Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Uko sahihi mkuu 100%.
 
Sasa hiyo kodi inasimamia bidhaa ngapi kwenye duka moja?
Maana unakuta duka moja lina bidhaa kibao
 
Back
Top Bottom