Street Hustler JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 2,175 Reaction score 4,299 May 15, 2023 #1 Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 5,710 Reaction score 8,579 May 15, 2023 #2 "Matajiri hawalipi Kodi ,maskini ndio walipa kodi" Robert Kiyosaki
voicer JF-Expert Member Joined Jul 13, 2020 Posts 5,545 Reaction score 11,935 May 16, 2023 #3 Street Hustler said: Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto Click to expand... Uko sahihi mkuu 100%.
Street Hustler said: Kuna ulazima gani wakuwa na kulipia certificate ya TBS kwenye duka wakati dukani sio kiwandani? Hii n kero nyingine kwenye Biashara naomba waziri mkuu apokee hii nayo Kama changamoto Click to expand... Uko sahihi mkuu 100%.
Baba Ndubwi JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 1,223 Reaction score 1,992 May 16, 2023 #4 Sasa hiyo kodi inasimamia bidhaa ngapi kwenye duka moja? Maana unakuta duka moja lina bidhaa kibao