TBS chunguzeni ubora wa hili gari unatia shaka

Sijaelewa kabisa hii ajali labda mafundi wao waliacha bodi hovyo hovyo.
 
Wewe umejua hiyo gari ni 1HZ au V8? Umeisoma vyema statement yake?
Kweli mambo ya jeshi hayajadiliwi.tumeanza kupambana wenyewe kwa wenyewe raia tujuao magari wakati nao wanajeshi ni wanafamilia zetu sisi raia hivyo uzima wao kwetu ni muhimu.
 
Kwani ilitakiwa ikianguka picha iweje? Mi naona kawaida sijui ndo ushamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…