TBS HIZI BULB ZA UMEME ZIMEPITIA UKAGUZI?

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Ni wito wangu kwa shirika la TBS kufuatilia na kuja na majibu iwapo hizi bulb za umeme zinaoonekana kutengenezwa China na zinasambazwa nchini kama zimekaguliwa ubora wake.
Ziko hizi bulb zilizo na jina la BLUEBAY za 60/watts ambazo nimenunua mara tatu lakini kila moja Haitumiki zaidi ya siku tatu inakuwa imeungua.
Ubora wa bulb hizi unatia mashaka. TBS fuatilieni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja tusubirie rea awamu ya tano kwanza
 
Kabla hujalaumu bulb mkuu check kwanza hyo bulb holder yako.
Mara nyingi matatizo ya kuungua kwa bulb husababishwa na ubovu/ukongwe wa holder.
Ni kweli hili nalo lipo,mimi nilikuwa nanunua bulb ikawa ikikaa masaa 2 au matatu inaungua nilipofuatilia nikagundua kuwa shida ilikuwa kwenye holder,ilikuwa inatoa cheche ila ni lazima utulie sana ndio utagundua.Solution kama hilo ndio tatizo ng'oa na kuweka mpya....
 
check na wiring yako kabisa nyumba isije kuungua ukaja kuwalaumu Tanesco sasa sio TBS tena...Na Tanesco lawama kwao ni kama upepo zinapita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…