Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Ni wito wangu kwa shirika la TBS kufuatilia na kuja na majibu iwapo hizi bulb za umeme zinaoonekana kutengenezwa China na zinasambazwa nchini kama zimekaguliwa ubora wake.
Ziko hizi bulb zilizo na jina la BLUEBAY za 60/watts ambazo nimenunua mara tatu lakini kila moja Haitumiki zaidi ya siku tatu inakuwa imeungua.
Ubora wa bulb hizi unatia mashaka. TBS fuatilieni.
Sent using Jamii Forums mobile app