Haya mashirika ya umma yanatakiwa yajiendeshe kwa ufanisi na yatowe mgao serikalini,,,Lakini sidhani hii kama ina maanisha waanze kuwakandamiza walalahoi..Wafanyabiashara tunawekewa vizuizi vingi sana, TBS yani mpaka madukani, haya hiyo hella ikishalipwa ndo inaenda wapi???
150000 kila duka Tanzania na Tanzania maduka ni kama 1,000,000 maana yake bilion 100 hizo mnataka ziende wapi, mbna kama wizi
TRA kweli tunasema hella inaenda serikalini kusaidia nchi
Wale wajinga Sana,nilijaribu kureason nao lkn nikaona Hawa tutasumbuana tu wakanipa control number nikalipa 50k tukaachana,wakija kwako wataangalia umepangaje bidhaa hasa zile za kupima km sukali mafuta,ukiweka chin kwenye sakafu bila kitu km kichanja wanawewe,wakikuta kitu kilicho expire wanawewe,wakikuta unavipodozi vyenye kemikali Wana wewe,Zen wanakuuliza km unacheti Cha TBs ukutani km huna wanakujambisha pale fine sijui milioni ndo hivyo kwa kifupi ndo hivyo wapuuzi tu
Bro duka la mangi,mtaani unauza bidhaa za kiwandani hutengenezi wewe,bidhaa hizo zimepitishwa na TBs Sasa mim kuwa na Cheti Cha TBs Ina husiana na nin km sio upigaji,alafu Sasa wewe unaambiwa 150k mwingine 50k biashara moja vitu vile vile mtaji unaendana wapi na wapiWanasimamia sheria zilizotungwa na bunge lako,kila kitu lazima kiwe na usimamizi. Cha msingi ukiamua kufanya biashaea TZ jipange kukabiliana na mamlaka mbalimbali.
Bro duka la mangi,mtaani unauza bidhaa za kiwandani hutengenezi wewe,bidhaa hizo zimepitishwa na TBs Sasa mim kuwa na Cheti Cha TBs Ina husiana na nin km sio upigaji,alafu Sasa wewe unaambiwa 150k mwingine 50k biashara moja vitu vile vile mtaji unaendana wapi na wapi
Mi ndo nashangaa, sielewi wanatutoza ili iwejeHaya mashirika ya umma yanatakiwa yajiendeshe kwa ufanisi na yatowe mgao serikalini,,,Lakini sidhani hii kama ina maanisha waanze kuwakandamiza walalahoi..
Hebu fafanua hiyo hela wanaihitaji ya nini, na kwenye mazingira gani mwenye duka anatakiwa alipe pengine ina uhalali kisheria.
Wasimamie sawa, ila sisi tunaambiwaje tulipie, Tena 150k, kulipia kunakuwa na msingi gani hasa, mana kama hayo makampuni yanaleta sana bidhaa lazima wapate hella hukoMimi nimekutana nao sana tbs katika harakati za maisha,sema hawafanyi hayo kwa kujisikia ni sheria na kanuni wanasimamia,tambua bidhaa za vyakula uchakachuaji ni mwingi sana ukiachilia mbali zile za vipodozi ambazo nazo feki ni nyingi,kumbuka bidhaa za magendo zinaingia sana nchini,bila ukaguzi na kusimamia huko mitaani unadhani wananchi watasalimika?
Kama kuna eneo unaona hujatendewa haki mamlaka zipo unaweza fikisha changamoto zao.