Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,718
- 3,471
Wafanyabiashara tunawekewa vizuizi vingi sana, TBS yani mpaka madukani, haya hiyo hella ikishalipwa ndo inaenda wapi???
150000 kila duka Tanzania na Tanzania maduka ni kama 1,000,000 maana yake bilion 100 hizo mnataka ziende wapi, mbna kama wizi
TRA kweli tunasema hella inaenda serikalini kusaidia nchi