Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #21
TBS wanataka "kuvuta".Logic ya kukagua magari nje ilikua kuhakikisha magari yasiyo na viwango hayaruhusiwi kuja nchini. Yanabaki hukohuko. Sasa TBS imeamua yakaguliwe baada ya kufika bandarini...
Mkuu seikali inapitia vikwazo vikali toka kwa wafadhili. Pesa hakuna. Huo ni ubunifu wa chanzo kimojawapi cha mapato ya Chato.Tangazo la TBS lililotolewa majuzi, ati sasa ukaguzi wa magari used utafanyika hapahapa Bandarini linatia wasiwasi..
Kuna uwezekano hii ikawa counterproductive.Mkuu seikali inapitia vikwazo vikali toka kwa wafadhili. Pesa hakuna. Huo ni ubunifu wa chanzo kimojawapi cha mapato ya Chato.
Hao JAAI wanakagua bure?Tangazo la TBS lililotolewa majuzi, ati sasa ukaguzi wa magari used utafanyika hapahapa Bandarini linatia wasiwasi.
Huu utaratibu ulikuwepo zamani na uliondolewa kutokana na urasimu wake na uchelewashaji mkubwa wa kukaguliwa mali ya mteja.
Tukubali tusikubali palipo na urasimu na ucheleweshaji hapo tunakaribisha rushwa tu.
Gari lililokaguliwa Japan (na tunawafahamu wa Japan JAAI kwa umakini na weledi), halafu likaguliwe tena na TBS, mantiki ya uamuzi huo hauingii akilini.
TBS ni shirika la Umma, na tunaujua utendaji wake.
Kutoa vibali tu vya ukaguzi wa bidhaa za viwandani inachukua hadi miezi sita.
Kwa hili TBS, NO!
Upigaji mwingine tena na kumzidishia maumivu makali mwananchiNa kama halitakidhi "viwango" unalipeleka karakana ya UDA ambapo utalipia mamilioni ya hela
View attachment 1682365
Mitano tenaYaa, uko sahihi huu uamuzi naona umesukumwa na lengo la kukusanya mapato. Gari linatakiwa likaguliwe huko huko kabla halijasafirishwa kuletwa nchini. Let say hao TBS wamekagua gari na kuona halifai, nani atawajibika kulisafirisha kulirudisha huko lilikonunuliwa au kuliteketeza.
Halafu kama sijasikia vibaya ada ya ukaguzi inafika mil. 3, hii haiwezi kuwa sawa kwa mtu ambaye ameshatumia pesa nyingi kulipia thamani ya gari na kulisafirisha jumlisha kodi ambazo ni maradufu ya bei ya gari.
Yaa, uko sahihi huu uamuzi naona umesukumwa na lengo la kukusanya mapato. Gari linatakiwa likaguliwe huko huko kabla halijasafirishwa kuletwa nchini. Let say hao TBS wamekagua gari na kuona halifai, nani atawajibika kulisafirisha kulirudisha huko lilikonunuliwa au kuliteketeza.
Halafu kama sijasikia vibaya ada ya ukaguzi inafika mil. 3, hii haiwezi kuwa sawa kwa mtu ambaye ameshatumia pesa nyingi kulipia thamani ya gari na kulisafirisha jumlisha kodi ambazo ni maradufu ya bei ya gari.
Kwani kuna tatizo gani kuhuisha huo mkataba mpaka kufikia maamuzi ghafi haya!? I hope hawataweka mafundi wezi wa vipuli vya magari, watuibie afu ionekane gari haikidhi viwango...maana uzoefu wangu unaonyesha vipuli vingi vya magari hunyofolewa bandarini na baadae kuuzwa kwa mhusika mwenye gari kwa bei ya kukomoa! Sasa hii hali ya kuwaruhusu waanze kukaa na magari ya watu na kuyakorokochoa mbona naona ni majanga kwa waahiza magari zaidi hata ya kule ukerewe afya!?Mambo yamekuwa magumu sana
Bila kutoa kitu kidogo au connections basi salama yako itakuwa gari itakaguliwa hata miezi miwili na utaipata upande mwengine gari itakaa muda mrefu au mfupi na utaambiwa ni bovu ulipie gharama wanayotala wakurekebishie.
Na kadri mchezo utavyonoga basi hata gari likiwa zima halina tatizo utaambiwa tu ni bovu na utatoa hela ya matengenezo .
Mbaya zaidi mtu anaweza kuchomia spea ya gari yako ambayo haina tatizo lolote akaiweka kwenye gari yake au ndugu yake akakuwekea spea kuu kuu na bado ukalazimika kutengeneza gari kwa gharama kubwa
Usalama wa spea za magari yetu na spea utakuwa mdogo sana, hebu vuta picha mkaguzi au fundi anatesti gari yako akiigongesha je?, na huko gereji itapokuwa inalala kuna baadhi ya mafundi wezi hawa ulinzi wa spea zetu upoje?
Na usiombee uwe na adui hapo tbs, huchomoki, utapigwa hela ya matengenezo hadi akili ikae sawa.
Kwa hili linalotaka kufanyika kiukweli mnakatisha watu tamaa kuagiza magari kutoka nje, Yani sipendi gari nayoagiza kufunguliwa kwajili ya ukaguzi na wabongo maana tunajuana vizuri, Kwa hali hii ukiagiza gari tenga hela ya matengenezo kabisa lasivyo utaumizwa sana na gharama za kutunza gari gereji na hatimae kulitelekeza.
Tbs kwa hili mmekurupuka.