TBS mnatufikiriaje Watanzania tunaokunywa Soda za Pepsi na Coca za Chupa Kawaida zenye kutu nyingi sehemu ya Kizibo?

Kunywa vingine visivyo na kutu achana na pepsi na coca kwani umelazimishwa??
 
Back
Top Bottom