TBS mpo makini kweli? Nyembe zilizotengenezwa Tanzania hazinyoi kabisa!!!

soweto85

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
301
Reaction score
247
Yaani niko moto ni vibaya, nimenunua nyembe ka dozen kazima. Kuanzia saa mbili mpaka saa hizi nahangaika na wembe tuu, yaani kidevu kinawaka moto, kwapa linawaka moto, na huku kunako pia moto.

Yote hii ni kupenda tu bidhaa ya nchi yetu, uzalendo. Hivi kweli TBS mnafuatilia hizi bidhaa ? Hamjiulizi kwanini watanzania wanazipiga madongo bidhaa zinazotengenezwa na viwanda vyetu? Kwanini mnaacha nembo yenu itumike kwenye bidhaa duni? Dah !!

Kilichoniudhi zaidi nimepata mchepuko mpya nimeshindwa kuutendea haki kila sehemu nywele vifungu vifungu, na dozen yote imeisha. Nimetoa udhuru nimechelewa ofisini wakati leo Mei Mosi na nilishamrushia hela ya taxi.

Haya bwana nyie wajanja! Yaani nimepishana nayo hivi hivi. Duuuh !!!
 
Kaongo ama kazushi kakubwa! Wembe gani usio na brand ya jina?
 
Jiandae kuuguza mapele mkuu
 
Kwani mkuu unagegeda na hiyo mivuzi au dushe
 
nunua mashine ya kunyolea mkuu, hizi nyembe ni balaa tupu maana ukiteleza kidogo tu unakuta umei chanja p*mbu
 


Usikute hivi nyembe ni "Made in Tandale," na ni wachina ndiyo wanaotengeneza kusingizia makampuni ya wabongo.
 
Pole kaka.. Achana na vitu fake visivyo na ubora... Nunua philips cordless shaver utakuwa powa.. Pole sana... Mimi ninayo machine yangu mwaka wa tano.. Nikikuta mchepuko wangu una msitu kama wa mufindi naupiga kipara mwenyewe..
 
tunapenda kuunga mkono viwanda vyetu, lakini si kwa mtaji huu !!
 
Ungetumia kipande cha chupa mkuu achana na hizo nyembe za kibongo.
 
Vitu vingi tu feki hapa bongo na hao TBS hakuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…