slimdaddy
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 531
- 481
me nlikua najikata ni full kulia chooni pakigusa maji nkaona huu upuuz xax ikanibid nichukue mashinenunua mashine ya kunyolea mkuu, hizi nyembe ni balaa tupu maana ukiteleza kidogo tu unakuta umei chanja p*mbu