TBS mpo makini kweli? Nyembe zilizotengenezwa Tanzania hazinyoi kabisa!!!

nunua mashine ya kunyolea mkuu, hizi nyembe ni balaa tupu maana ukiteleza kidogo tu unakuta umei chanja p*mbu
me nlikua najikata ni full kulia chooni pakigusa maji nkaona huu upuuz xax ikanibid nichukue mashine
 
Unanyoa halafu unaenda kufanya ngono.?!!..
Halafu eti unavaa kinga..it is useless
 
Kweli kabisa tena zinatuletea na maupele kibao hadi kero
 
Viberiti ndio shida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…