TBS na TCRA mmeruhusu wizi, watu wamepata hasara

TBS na TCRA mmeruhusu wizi, watu wamepata hasara

Serikali haiwezi kukulinda dhidi ya kila kitu, ndio maana unapewa elimu ya msingi bure ikusaidie kuyamudu mazingira yako, kama hiyo imeshindwa kukusaidia basi wewe unastahili kuibiwa.
Hapana, wewe ndio unapotoka, na siajabu ni mmoja wa hao matapeli wanaoibia watu.

Huyu elimu aliyopata inamfaa sana, na inaonyesha anaitumia ipasavyo.

Yeye ameona tatizo, na badala ya kukaa kimya kama wewe ambaye ulipata elimu ya vitabuni tu, kaitumia vyema elimu yake kutoa tahadhari na kuwasaidia wengine wasiangukie kwenye utapeli wenu huu.
 
Back
Top Bottom