Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
-
- #61
TBS watakuambia bila hata kufanya utafiti, hawana muda huo siku hizi. Siku hizi bidhaa nyingi zina nembo ya ubora TBS lakini kilichomo hakina ibora huo, nilinunua unga wa sembe wa kiwanda kimoja kikubwa nchini, nilichokikuta ni nusu unga nusu chenga! Sasa hizo chenga unazifanyaje?Katika mambo yote kuhusu vyakula vya nafaka, mimi nagopa sana hicho kitu kinachoitwa "fortification" kinachofanyika katika unga wa sembe.
Kwa fikra zangu hizo fortifications ni "slow killing poisons" za kuua watu weusi kwa siri, ni mpango wa wazungu, tunanunua sumu kujiua sisi wenyewe. Unless TBS etc, watuambie hizo fortifications zinaongeza kitu gani katika miili yetu na kwa utafiti upi walioufanya.
Soma vizuri ulichokiandika.Unga mwingi tunakula uchafu maana mashine nyingi hazitoi vyuma.
Hili jambo mi muhimu sana. Maindi pia huwekwa sumu ya kuzuia yasiliwe na wadudu, bilaa kuyasafisha vizuri kabla ya kuyasaga yanaweza kuleta madhara kwa binadamu.Miaka ya hivi karibuni kumezuka viwanda vingi sana mitaani vinavyosaga unga wa mahindi na muhogo, ubora wa unga huo u atia mashaka kwani viwanda husika haviko kwenye usafi unaoridhisha.
Kiwanda ambacho hakiko kwenye usafi hata ubora wa unga wake utatia shaka, ni wazi viwanda hivyo vina mashine ya kukoboa na kusaga, havina mashine ya kusafisha nafaka husika hivyo kunauwezekano mkubwa kusagwa na takataka nyingine.
Nafaka zinazopatikana miaka hii huwa na uwezekano wa kuathirika na sumu kuvu na sumu zitokanazo na madawa ya kuhifadhia nafaka pamoja na ya kuua wadudu mashambani, haya yote ni hatari kwa afya zetu.
Ni jambo lililo wazi nchini kwetu hakuna utamaduni wa kichukua sampuli madukani na kwenda kuzipima maabara, TBS na TFDA nendeni madukani mchukue sampuli mkazipime naamini matokeo yatalishitua taifa kutokana na utitiri wa viwanda vya vichochoroni.
TBS miyeyusho. Niliwahi kuwashtua siku moja kuhusu mikate isiyo na nembo ya TBS iliyozagaa huku mitaani, nikakusanya sample tatu za mikate kutoka watengenezaji tofauti, lakini sikuona hatua zozote zikichuliwa.Miaka ya hivi karibuni kumezuka viwanda vingi sana mitaani vinavyosaga unga wa mahindi na muhogo, ubora wa unga huo u atia mashaka kwani viwanda husika haviko kwenye usafi unaoridhisha.
Kiwanda ambacho hakiko kwenye usafi hata ubora wa unga wake utatia shaka, ni wazi viwanda hivyo vina mashine ya kukoboa na kusaga, havina mashine ya kusafisha nafaka husika hivyo kunauwezekano mkubwa kusagwa na takataka nyingine.
Nafaka zinazopatikana miaka hii huwa na uwezekano wa kuathirika na sumu kuvu na sumu zitokanazo na madawa ya kuhifadhia nafaka pamoja na ya kuua wadudu mashambani, haya yote ni hatari kwa afya zetu.
Ni jambo lililo wazi nchini kwetu hakuna utamaduni wa kichukua sampuli madukani na kwenda kuzipima maabara, TBS na TFDA nendeni madukani mchukue sampuli mkazipime naamini matokeo yatalishitua taifa kutokana na utitiri wa viwanda vya vichochoroni.
TBS wameshindwa kazi..TFDA irudi..hapa jpm alipotoshwa sana.Je, kunahaja ya uongozi ulipo sasa wa TBS kuwepo madarakani au tupaze sauti uondolewe ili tupate viongozi wengine watakaojali afya zetu kwa kusimamia vizuri ubora wa vyakula?
Kwahiyo unaunga mkono watu wafanye biashara ya chakula bila kufuata utaratibu.?Umbea huo unaingilia kazi za watu, unadhani kamati ya ulinzi na usalama eneo vilipo hivyo viwanda hawavioni?