A
Anonymous
Guest
Mfumo wa utendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi zao zilizopo TPA ONE STOP [BANDARINI] utakuta foleni kubwa ya MAWAKALA WA FORODHA wakipambana ku-clear mizigo ya wateja wao.
TBS wamekuwa ni jipu sidhani kama Hayati MAGUFULI angekuwepo utendaji wao ungekuwa vile. Wamewasababishia IMPORTERS STORAGE za kila siku zisizokuwa na maana kwa kushindwa kumalizia Clearance process kwenye system yao ya OAS... Hiki ni kilio kwa kweli.
Unakuta mteja ameshalipia USHURU, Wharfage na gharama nyingine za mamlaka nyingine kama GCLA, TMDA, ATOMIC nk lakini anakuja kukwamishwa na TBS kwa zaidi ya siku 10 hadi shehena inaingia STORAGE.
Kuna wateja wametelekeza mizigo yao Bandarini kwa kushindwa kulipia storage zilizokuwa Accumulated baada ya Mkwamo wa mfumo wa TBS hakuna tamko hata la viongozi wao juu ya WAIVER kama tatizo limesababishwa nao kama wanavyofanyaga TRA bali wao wamechagua kuwa MABUBU kwenye hili.
Hapo awali kulikuwa na smooth Flow lakini wakafanya INTEGRATION ya mfumo wao OAS na wa TRA - TANESW hapa ndiyo shida ilipoanzia, lakini pia Taasisi haina watendaji wa KUTOSHA hasa wa PVoC LOW NUMBER OF MAN POWER . HILI LIWAFIKIE MABOSI WA TBS NA WIZARA YA UCHUKUZI NA WIZARA YA FEDHA PIA NA UWEKEZAJI .
Uondoshaji wa mizigo bandarini kwa sasa ni shida kubwa sana na viongozi wa TAFFA, TACAS na CALAT hawajachukua hatua yoyote kuwakutanisha Mawakala wa Forodha na mabosi wa TBS ili watoe kero zao kwao.