TBS: Tairi za gari mwisho kutimika ni miaka 8

TBS: Tairi za gari mwisho kutimika ni miaka 8

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wadau mmesikia hiyo,watalaam wamesema tairi kutumika ni miaka 8 na sio 4 kama wengi tulivyokalili.

IMG_20211031_061426.jpg
 
Ila Kwa haya matairi ya mtaa wa Livingstone Kariakoo sio ya kutumia miaka 8
Akitokea mtu akawa anafanya retread ya tairi za gari ndogo, wabongo wengi wataacha kununua matairi mapya.

Kwa Sasa Usangu ndie anayefanya retread ya tyre za gari kubwa, hii kitu tamu Sana unaweza usiende dukani hata miaka 10.
 
Unaaanisha nini ku -retread? kiasi kwamba wabongo waache kununua tairi mpya?
 
Used vehicle imekaa Japan miaka 20 toka 2002 kila kitu kiwe PROPER?
Proper Ninayomaanisha SIo kama Ulivyoweka mkuu; Hata gaeri ya Ya 2018 haiwezi kuwa Proper; Namaanisha Kama Serikali Imeruhusu gari zilizotumika, kuna gari ambazo ziko vizuri kwa maana ya Kiwango cha uchakavu kuwa kidogo
 
Back
Top Bottom