TBS tazameni kwa jicho la huruma hivi vinywaji hasa GIN SPIRIT,BIA,MAJI

TBS tazameni kwa jicho la huruma hivi vinywaji hasa GIN SPIRIT,BIA,MAJI

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
2,122
Reaction score
5,319
Huku kitaa hali ni mbaya na tunashindwa kutambua je vinywaji hivi ni fake au havina ubora wa viwango haiwezekani kinywaji kimoja kikawa na radha mbili tofauti au kukosa kile kilevi chenye wewe pia kuna uwezekano pombe za GIN SPIRIT zichunguzwe ndio zinaongoza kua na mapungu ya radha,ubora na yawezekana baadhi ya vinywaji hasa enegy vimewekwa kemikali yakumfanya mtu awe mtumwa-teja wa vinywaji hivyo kama watumwa wa sigara wanavyoteseka
 
Bia nyingi zimepunguzwa kilevi ili mtu ununue nyingi na kunya nyingi fanya uchunguzi hasa kwenye bia ambazo zina chupa kubwa na chupa ndogo pia hata maji yakunywa haya ya chupa asee ukitaka kujua ni fake au hayana ubora kwa baadhi ya kampu wewe kunywa yamoto ila chakushangaza ukapata kinywaji bora au kibaya pale unapofanya safar tofati za maeneo tofaut
 
Back
Top Bottom