Juzi nilikuwa kwenye dula moja la hapa jijini, akaja mteja mmoja akilalamika juu ya vocha yake ya sh 500 ya Airtel imekwanguliwa vibaya, Mwenye duka akamwambia hana jinsi inabidi jamaa aipeleke Airtel Shop yeyote iliyopo karibu,
Ukweli nimegundua vocha za simu za Airtel quality yake ni ya chini sana, sijui ni kwanini TBS au TCRA kwenye huu upande huwa hawaangalii
Ukweli nimegundua vocha za simu za Airtel quality yake ni ya chini sana, sijui ni kwanini TBS au TCRA kwenye huu upande huwa hawaangalii