TBT enzi za chuo kikuu

Watu design yako mnaojitia ujuaji mwingi ndio huchapiwa wake Zao......jitahid kujua mambo tafaoti tofauti maisha hayataki usiriazi
Sekta nyeti tunahitaji vijana serious ila bahati mbaya UDSM na vyuo vingine vya serikali havizalishi tena vijana wa namna hiyo......Si mnaona mada zenu mnazoelezea mambo mnayofanya vyuoni mda mwingi mnapokua free nje ya masomo ya darasani
 
Nyie ndio mmeuza bandari ebu tulieni mmngekua wasomi kweli mngetulia na wake zenu mbona mnaacha wake zenu mnahangaika na visichana vibichi mtaani uko au mnahis hatuwaoni
 
[emoji1787][emoji1787]kwani toka umeanza kuliwa umeliwa na mtu mmoja?[emoji1787]yupo tu mjanja mmoja alikupeleka geto la msela na hukujua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana haijawahi tokea, hakuna mjanjaa wa kunifanyia hivyoo. Ghetto la kuazima niingie mie?

Lodge zipo bhana. Haitokaa itokee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa km falaa hapaa, woiiiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana haijawahi tokea, hakuna mjanjaa wa kunifanyia hivyoo. Ghetto la kuazima niingie mie?

Lodge zipo bhana. Haitokaa itokee.
[emoji1787][emoji1787]kuna watu wengine heri geto la msela kuliko lodge yaani mkienda lodge ni kama mmehalalisha uzinzi
 
[emoji1787][emoji1787]kuna watu wengine heri geto la msela kuliko lodge yaani mkienda lodge ni kama mmehalalisha uzinzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nipo tayari kuchangia hela ya Lodge, ila sio kwenda kwa ghetto lisilo elewekaa, wee kuwezaaa.
 
[emoji1787][emoji1787]ila wewe hayo mambo umeanza kitambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana sio kivilee,
Ila huwa nadate na mtu anaye elewekaa, sio unavamiaa vamia tyuuh, ndo maana wengine wana dharaulika, kisa nn kuwa na watu holelaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu ilibaki nusu tupige three some sema jamaa sijamuelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuambiajee mie ningeunga trailer.
 
Binafsi sijawahi kuwa-entertain walevi na mafuska kwenye kitanda ninacholala. Haya mambo ya geto yananikumbusha mwaka 2009 tumemaliza Chuo hatuna kazi na tuna hali ngumu mno jijini Dar ingawa baadhi yetu walikuwa wamejiandikisha mitihani ya NBAA na wale wa IT walikuwa ni CISCO. Kuna jamaa yetu mmoja ambaye kwasasa ni Advocate mkubwa tu, ndo angalau alikuwa anajiweza weza.. ilikuwa karibu kila jumamosi tunakutana geto kwake Sinza washkaji wote. Chumba kimoja tunajazana tunasikiliza muziki kwenye subwoofer...😄 kwa bahati wote tulikuja kupata kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…