Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 561
- 1,112
- Thread starter
- #41
Watu design yako mnaojitia ujuaji mwingi ndio huchapiwa wake Zao......jitahid kujua mambo tafaoti tofauti maisha hayataki usiriaziVijana mna kazi kweli kweli na jitihada zenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Afu ndio wahitimu wa vyuo mnaotaka tuwaajiri....sekta nyeti