TBT enzi za chuo kikuu

Sitasahau nilipoachiwa nyumba ya kilokole nikatembelewa na Kemi wangu, aiseee ilikuwa aibu sana wenyeji wanakuta nimeanika godoro, eti limemwagikiwa maji.
 
Dume ndio lililokuwa linaugulia, liliniboa nilitamani nimzabe kofi. Mimi nilitegemea shost angu ndiye angeulilia nijue km show kali niwajoin [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu nimekumbukaaa kituu, wacha nichekee, ila mizagamuo ina mengi wallah. Mweeeeh
 
Kipindi nipo first year chuo UD, nilikua na mshkaji wangu ambae yeye hakuwa anasoma, alikua na mishe zake zingine.
Alikua amepanga nyumba nzuri tu knyama, hapo ndio ilikua machinjio ya mademu wa chuo na wengine. Walikua wananipenda sana

First year niliishi mabibo hostel block E. Kama ntakumbuka room ilikua 32000 semister ya kwanza, semister ya pili 40000
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu nimekumbukaaa kituu, wacha nichekee, ila mizagamuo ina mengi wallah. Mweeeeh

Uduguu nisimulie [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Kwahiyo umekuja kulipiza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…