Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Uduguu anataka kukubania tuTuendelee bana CW anakagua usalama tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli hawatuwezi[emoji3059], umenikumbusha hii classic song kutoka kwa gaidi la rap my brother King izz, mr Isack
Udugu mpe cute wife anachotaka, hakuna wa kukusumbua. Napenda kumuona akiwa happy
Uduguu anataka kukubania tu
Ndio yupo hivyo, mtu mmoja poa sana. Real nigga, japo yule dada wa kiuno bila mfupa alitaka kumpoteza kabisa.Hivi Lloyd anaongeaje?? Yaani km hataki [emoji23][emoji23]
Namkubali Joh mwamba wa kaskazini kinoma
Ndio yupo hivyo, mtu mmoja poa sana. Real nigga, japo yule dada wa kiuno bila mfupa alitaka kumpoteza kabisa.
Joh ni icon ya hiphop bongo. Yeye ndio amefanya transformation ya hii hiphop hapa bongo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuendelee bana CW anakagua usalama tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani hatoi ngoma? Lord? Lord ana nyimbo nyingi tu mpya na zinafanya vizuri mfano ni marashi, pia ana EP inaitwa ABCDKiuno bila mfupa wa moto Lloyd mwenyewe anajua hilo [emoji23][emoji23][emoji23] dah! Sema alikuwa anatupotezea gaidi la rap hivi hivi
Halafu ss hivi hatoi ngoma kwanini?
Joh hana deni na hip hop
Naonaa unamzungumziaa brooh ako Joh, ila Joh katika ile ngoma ya "Don't bother" aliua mnoooo.Udugu mpe cute wife anachotaka, hakuna wa kukusumbua. Napenda kumuona akiwa happy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani hatoi ngoma? Lord? Lord ana nyimbo nyingi tu mpya na zinafanya vizuri mfano ni marashi, pia ana EP inaitwa ABCD
Naonaa unamzungumziaa brooh ako Joh, ila Joh katika ile ngoma ya "Don't bother" aliua mnoooo.
Naonaa unamzungumziaa brooh ako Joh, ila Joh katika ile ngoma ya "Don't bother" aliua mnoooo.
Sio bro wangu. Kwenye ukweli lazima tuseme, bongo hakuna kama JohNaonaa unamzungumziaa brooh ako Joh, ila Joh katika ile ngoma ya "Don't bother" aliua mnoooo.
Sana, Kuna kipindi wajinga wachache walianza kusema Joh anaandikiwa mistari na NickHivi na yule mdogo wake Nikk nae anachana?!!
[emoji23][emoji23]
Ana ngoma yake ”UMEKAAJE” naielewa uduguu wangu
Marashi?Nitumie [emoji3059]
Marashi?
Sana, Kuna kipindi wajinga wachache walianza kusema Joh anaandikiwa mistari na Nick
Nick ni genius kwenye uandishi na flow. My second best after Joh
Taaluma, siasa na uongozi vimefanya muziki ukae pembeni kidogo.
Sio bro wangu. Kwenye ukweli lazima tuseme, bongo hakuna kama Joh
Sio don't bother tu
Karudie tena kusikiliza hizi alafu njoo hapa;
Hakuna bongo artist anaweza tunga hizo nyimbo
- Stimu Zimelipiwa
- Karibu Tena
- Kilimanjaro
- Nikumbatie
- Manuva
- Bye bye
- I see me
- Wawiwo
- Perfect combo
- Waya
- kata leta feat davido
Muulize Davido who's Joh?