TBT enzi za chuo kikuu

TBT enzi za chuo kikuu

Hivi Lloyd anaongeaje?? Yaani km hataki [emoji23][emoji23]
Namkubali Joh mwamba wa kaskazini kinoma
Ndio yupo hivyo, mtu mmoja poa sana. Real nigga, japo yule dada wa kiuno bila mfupa alitaka kumpoteza kabisa.

Joh ni icon ya hiphop bongo. Yeye ndio amefanya transformation ya hii hiphop hapa bongo
 
Ndio yupo hivyo, mtu mmoja poa sana. Real nigga, japo yule dada wa kiuno bila mfupa alitaka kumpoteza kabisa.

Joh ni icon ya hiphop bongo. Yeye ndio amefanya transformation ya hii hiphop hapa bongo

Kiuno bila mfupa wa moto Lloyd mwenyewe anajua hilo [emoji23][emoji23][emoji23] dah! Sema alikuwa anatupotezea gaidi la rap hivi hivi

Halafu ss hivi hatoi ngoma kwanini?
Joh hana deni na hip hop
 
Kiuno bila mfupa wa moto Lloyd mwenyewe anajua hilo [emoji23][emoji23][emoji23] dah! Sema alikuwa anatupotezea gaidi la rap hivi hivi

Halafu ss hivi hatoi ngoma kwanini?
Joh hana deni na hip hop
Nani hatoi ngoma? Lord? Lord ana nyimbo nyingi tu mpya na zinafanya vizuri mfano ni marashi, pia ana EP inaitwa ABCD
 
Naonaa unamzungumziaa brooh ako Joh, ila Joh katika ile ngoma ya "Don't bother" aliua mnoooo.
Sio bro wangu. Kwenye ukweli lazima tuseme, bongo hakuna kama Joh

Sio don't bother tu

Karudie tena kusikiliza hizi alafu njoo hapa;
  • Stimu Zimelipiwa
  • Karibu Tena
  • Kilimanjaro
  • Nikumbatie
  • Manuva
  • Bye bye
  • I see me
  • Wawiwo
  • Perfect combo
  • Waya
  • kata leta feat davido
Hakuna bongo artist anaweza tunga hizo nyimbo

Muulize Davido who's Joh?
 
Hivi na yule mdogo wake Nikk nae anachana?!!
[emoji23][emoji23]
Ana ngoma yake ”UMEKAAJE” naielewa uduguu wangu
Sana, Kuna kipindi wajinga wachache walianza kusema Joh anaandikiwa mistari na Nick

Nick ni genius kwenye uandishi na flow. My second best after Joh

Taaluma, siasa na uongozi vimefanya muziki ukae pembeni kidogo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kantri hebu acha kutufanya watoto
 
Sio bro wangu. Kwenye ukweli lazima tuseme, bongo hakuna kama Joh

Sio don't bother tu

Karudie tena kusikiliza hizi alafu njoo hapa;
  • Stimu Zimelipiwa
  • Karibu Tena
  • Kilimanjaro
  • Nikumbatie
  • Manuva
  • Bye bye
  • I see me
  • Wawiwo
  • Perfect combo
  • Waya
  • kata leta feat davido
Hakuna bongo artist anaweza tunga hizo nyimbo

Muulize Davido who's Joh?

Joh anajua namkubali sana hivi ana mke? Ukizingua nikajiweke kwa Joh [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom