TBT enzi za chuo kikuu

TBT enzi za chuo kikuu

Joh anajua namkubali sana hivi ana mke? Ukizingua nikajiweke kwa Joh [emoji23][emoji23]
Kuhusu mke[emoji848], hapo tusizungumzie ni personal

Naanzaje kuzingua kwako, nimefika kigoma mwisho wa reli
 
Hivi na yule mdogo wake Nikk nae anachana?!!
[emoji23][emoji23]
Ana ngoma yake ”UMEKAAJE” naielewa uduguu wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu tuliaa kwaniii, eti unasemaa??
 
Sio bro wangu. Kwenye ukweli lazima tuseme, bongo hakuna kama Joh

Sio don't bother tu

Karudie tena kusikiliza hizi alafu njoo hapa;
  • Stimu Zimelipiwa
  • Karibu Tena
  • Kilimanjaro
  • Nikumbatie
  • Manuva
  • Bye bye
  • I see me
  • Wawiwo
  • Perfect combo
  • Waya
  • kata leta feat davido
Hakuna bongo artist anaweza tunga hizo nyimbo

Muulize Davido who's Joh?
Perfect combo
Kata leta
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sana, Kuna kipindi wajinga wachache walianza kusema Joh anaandikiwa mistari na Nick

Nick ni genius kwenye uandishi na flow. My second best after Joh

Taaluma, siasa na uongozi vimefanya muziki ukae pembeni kidogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwann lakiniii???
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kantri hebu acha kutufanya watoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu nimechekaaa hadi machoziii, usingizii umeishaaa wallah, CW wako ananipa raha mnooo.
 
Back
Top Bottom