TBT enzi za chuo kikuu

TBT enzi za chuo kikuu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi wengine ngaduu tyuuuh

Nyie ngadu kweli, mimi mpole CW alinichachua mwenyewe, ukaja na uduguu ndio ukaniharibu kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna sehemu nayo iheshimu km ninapolaza ubavu wangu, tena nilipo paandaa mwenyewee. Ghetto langu hakuna anayeingia zaidi yangu, wanao nitembelea wanaishia sebulen tyuuh.

Hata anae nikaza mwenyewe aidha niende kwake, au tuende Lodge.

Huwa nawashangaa mno watu wanao azimana maghetto, had mdada ana muazima rafik ake ili akazagamuane na boi wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] woiiiiiiih
We si dume ww!! Unakazwaje aisee?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawez kukaa mada km hizi hazipendi!! Sema kashapenda la sivyo tungeoga matusi hapa.

Sweet Mangi wangu ss hivi hapendi kelele [emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wachaa wee
 
Nyie ngadu kweli, mimi mpole CW alinichachua mwenyewe, ukaja na uduguu ndio ukaniharibu kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekuharibu kabisaa
 
Back
Top Bottom