Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
- Thread starter
-
- #21
Mtu wa Tandale huku Africa kwetu anajifanya wa Brooklyn USA unaonekana katuni tu...hebu stop being cocky,u look stupid
Lakini kwa nn nas alizidiwa ki mafanikio na jay z wat was a set back point
American Gangsta wannabe too bad...Mtu wa Tandale huku Africa kwetu anajifanya wa Brooklyn USA unaonekana katuni tu...hebu stop being cocky,u look stupid
huyu dogo anaboa mbaya na kiingereza chake cha kuangalia muvi SMH yaani unajua kichwani mweupe hadi anaboa aiseeMtu wa Tandale huku Africa kwetu anajifanya wa Brooklyn USA unaonekana katuni tu...hebu stop being cocky,u look stupid
Hahaha smh. Hasira hazisaidii bro, jifunze lugha, jifunze muziki, mambo ya vijiweni achana nayo
ona sasa fuatilia historia dogo unajua kisa cha NAS kuandika ether jay z alikua anamdiss more than 2 tracks wakati nas anamtunza mama yake alikua na cancer tatizo mitoto ya siku hizi inakurupuka hachelewi kukwambia soja boy ni mzuri kuliko K-DOT'I've been fucked over, left for dead, dissed and forgotten /
Luck ran out, they hoped that I'd be gone, stiff and rotten /'
ona sasa fuatilia historia dogo unajua kisa cha NAS kuandika ether jay z alikua anamdiss more than 2 tracks wakati nas anamtunza mama yake alikua na cancer tatizo mitoto ya siku hizi inakurupuka hachelewi kukwambia soja boy ni mzuri kuliko K-DOT
Duh,I rest my case...
Na wewe nae ndio unajua lugha mpaka unafikia kudharau wenzio?U look silly....
post: 19967049 said:You are an African from Africa,your accent is fake...hivi unajua siku unafungua mdomo kuongea na African Americans they will just feel sorry for u?
Acha vichekesho wewe....ulishakaa USA mtaani kabisa for how long,au ulipita tu?Hebu waachie wenye accent yao,stop being delusional and silly aisee.
Jamaa amenichekesha na lafudhi ya kuiga ya African Americans wakati tupo nae hapa mavumbini.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu are u on drugs?...How do u disrespect a legendary diss song of all time like "Ether"?
He murdered Jay-Z,he is freaking Jay-Z..not some Nicki Minaj candy ass rapper...
Shether over Ether?U must be on a hell of hard drugz
Real deep down you disrespect Nas
KWANN UNAKIMBIA MAJIBU YANGU "NEW SCHOOL"...Yessir, I have no respect for Nas, and I've given my reasons. Respect is earned, not due.
UkiongezaMy fav diss songs of all the time.
1.2pac-hit em up.
2.Nas-Ether.
3.Eazy E-Real Muthafucckin G's.
4.Ice Cube-No Vaseline.
Talk is cheap...
Pia kila mtu anavutia kamba kwake,anapoona yeye ni sahihi.
Umeisahau na tatu bila ya wanaume halisiUkiongeza
The bitch in you - common
The bridge is over-BDP
you get mine.
Jay is a businessman...Lakini kwa nn nas alizidiwa ki mafanikio na jay z wat was a set back point
KWANN UNAKIMBIA MAJIBU YANGU "NEW SCHOOL"...
sikujua km walikuwaga na beef hawa watu