Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
- Thread starter
- #21
Mtu wa Tandale huku Africa kwetu anajifanya wa Brooklyn USA unaonekana katuni tu...hebu stop being cocky,u look stupid
Hahaha smh. Hasira hazisaidii bro, jifunze lugha, jifunze muziki, mambo ya vijiweni achana nayo