#TBT Kipanya: Clouds TV hawana kipindi chochote cha maana ukiacha taarifa ya habari pekee

Wadau,

Leo nimeona tujikumbushe na suala hili, moja ya kumbukumbu ni kwamba mchora katuni maarufu Masoud Kipanya siku Clouds TV wanafanya sherehe ya kuanza kuonekana DSTV, aliwaponda kupitia ukurasa wake wa facebook kwamba hawana kipindi chochote cha maana, ukishaangalia taarifa ya habari ndo basi tena

[HASHTAG]#Sasa[/HASHTAG] kaajiriwa na hao hao wenye vipindi vya ovyo

Alitukana wakunga na uzazi ungalipo
 
Sasa tatizo Ni nn ? Acha kukuza mambo
 
Back
Top Bottom