Niliwahi msikia toka kwa ndugu yangu alichezea simba paleHuyu ndie refarii Wana Simba tulikuwa hatuna hamu nae kabisa kwenye dabi ya Kariakoo. Kila akichezesha dabi ilikuwa lazima Simba tulie.
Kwa Manyoto Ndimbo, sijui Kayoko akasome, Manyoto alikuwa Moto!
Miaka ya 1970s. Mngoni huyo kila akisimama katikati kwenye mechi za Simba na Yanga, mtake msitake Simba lazima tulie.Miaka gani hiyo mkuu na sisi vijana wa 90s tujifunze historia???
Na ndie alisababisha yanga awe na bingwa mwingi kuliko simba.Kumbuka pi alikuwa mwenyekiti wa chama cha waamuzi.Mpaka wazee wa simba wakampiga na kumpiga kitu wakamuua.Huyu ndie refarii Wana Simba tulikuwa hatuna hamu nae kabisa kwenye dabi ya Kariakoo. Kila akichezesha dabi ilikuwa lazima Simba tulie.
Kwa Manyoto Ndimbo, sijui Kayoko akasome, Manyoto alikuwa Moto!
Mh! madam si ulale kuna shida gani..?Watoto wa 2000 mtupishe tafadhali!
Sina usingizi, njoo unitekenye nilaleMh! madam si ulale kuna shida gani..?
nikutekenye wapi kuwa muwazi...😅Sina usingizi, njoo unitekenye nilale
Hv unajua tunaharibu mada ya watu.nikutekenye wapi kuwa muwazi...😅
Ohoo! Sasa hapo nimekuelewa!.. itabidi sasa usaule kila kitu ili nianze matekenyo bwana matekenya!..😅Kwenye kitovu
Kanijibu swali langu kule kwenye Uzi wa wakina mama kwamba kwanini tukiwadinya mnaziba macho na hamtuangalii usoni?Kwenye kitovu
Hv unajua tunaharibu mada ya watu.
Tulia bhana
Hujanitag, siwezi kuuonaKanijibu swali langu kule kwenye Uzi wa wakina mama kwamba kwanini tukiwadinya mnaziba macho na hamtuangalii usoni?
Mh! tunaweza fungua wakwetu! unaogopa si ushakuwa wewe unakuwa kama una miaka 12 mamy...😂Hv unajua tunaharibu mada ya watu.
Tulia bhana.
Namkumbuka Manyoto na wala sijui kama wakati huo alikuwa na beji ya FIFA lakini alikuwa ni pilato kiboko sana anapokuwa uwanjani. Sijui yuko wapi leo.Huyu ndie refarii Wana Simba tulikuwa hatuna hamu nae kabisa kwenye dabi ya Kariakoo. Kila akichezesha dabi ilikuwa lazima Simba tulie.
Kwa Manyoto Ndimbo, sijui Kayoko akasome, Manyoto alikuwa Moto!
Nafikiri ni Marehemu, kwani mwaka 1980/81 alikuwa ni afisa utumishi katika kiwanda cha Cotex Metals and Machinery Ltd, Mbezi beachNamkumbuka Manyoto na wala sijui kama wakati huo alikuwa na beji ya FIFA lakini alikuwa ni pilato kiboko sana anapokuwa uwanjani. Sijui yuko wapi leo.