TBT: Mnawakumbuka hawa jamaa..?

TBT: Mnawakumbuka hawa jamaa..?

Karuka tena karuka,Kachoka mpaka mkia..View attachment 1187335
Hii haujaitolea maelezo mazuri.
Wanaume baada ya kukosa mnachokitaka huwa mnakikashifu kwa kujidai "sizitaki mbichi hizi"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii hapa mkuu
Halafu kuna Bulicheka
FB_IMG_1566460349469.jpeg
FB_IMG_1566460334294.jpeg
 
Niliibiwa kisalfeti changu kilichojaa daftar za shule.. ili home wasijue nilikua naingia kininja natoka kininja. Nilikaa kama wiki mbili siandiki ila naenda shule kuiba daftar tu! Nilimilisha zimefika daftar 20 mpya... daftar zikimwaga kutoka kusahushwa nami najichanganya
Dah broh 😂
 
Hahaa utasikia simtak kwanza Ana miguu imepinda, anatembea anataka kuangukia mbele
Hii haujaitolea maelezo mazuri.
Wanaume baada ya kukosa mnachokitaka huwa mnakikashifu kwa kujidai "sizitaki mbichi hizi"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliwahi kuandamana kisa kukatazwa kuandika mtihani kwakua hatujatoa hela ya mlinzi.. sasa sie tulie toa tukawa tunekatazwa ambao bado wakaingia kuandika.. wee dogo mmoja baba ake alikua ni afisa elimu sijui wa kata akasema twende tukamwambie baba... kundi lote tukaenda hadi ofisini kwa baba yake Tukapewa Barua tuwapelekee walimu. Vile tunatokezea shule tu walimu na viranja wakatuzingira tusikimbie..Kumbe ile barua ndani ilikua imeandikwa "WACHAPENI SANA HAWANA ADABU" Aisee tulikula stiki sijawahi ona.. Toka siku hiyo I'm on my own,hua sifuati watu kwakweli
 
N

Nmeiba snaa pen aisee

Enzi hizo tunatumia vioo kuchungulia chupi za kina aisha
Shuleni tulikuwa tunashindana wizi wa vitu. Yaani ilitakiwa utumie akili uingie darasa lingine uibe na urudi na kitu darasa kwenu uoneshe wenzako kuwa umeiba darasa fulani.

Sasa vijana tukajifanya Scofield na kuanza kutumia akili na kweli wengi wao walifanikiwa mimi nawachora tu. Siku moja nikawaambia mimi siwezi kuiba humu madarasani kwa sababu hakuna mwanafunzi ataweza kuruka mtego wangu.

Mchana nikazama ofisini kwa Headmaster nikampa stori nyingi za uongo na kweli akaanza kukenua meno anacheka kumbe mimi nataka nitoke na kitu chochote ofisini kwake nikawaoneshe darasani. Kama dakika 5 mzee akajaa kwenye 18 nikapiga kalamu yake nyekundu nikamuaga Mwl mimi narudi darasani.

Nikafika class nikawaonesha na kutaka mtu alipe nilichofanya, hakuna aliyeweza. Basi nikawataka waache wizi maana hawajui kuiba.
 
Back
Top Bottom