HUU WIMBO NIKIUSIKIKIZA HISIA ZANGU ZINAENDA MBALI SANA, UNA MAHABA YA HALI YA JUU
ngoma ya nipigie kuna manzi wangu humo kitambo sana [emoji7]Jioni imekua murua sana na burudani ya Muziki wetu wa bongoflava
Ingewezekana nipate audio zake mkuu, zimenishika vilivyo
T A M A L A
Hii ngoma si mchezo, yule sister anaekoleza chorus ni nani vile? Pale kwenye tamalaaaaaaaaaaT A M A L A