Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ni ugomvi mpya au ule ule wa zamani?Tresor Mandala una jua hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ugomvi mpya au ule ule wa zamani?Tresor Mandala una jua hili?
Kwa hiyo ukishajua atakusaidia nini?Habarini,
Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari
Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda
Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo akihojiwa na kina masoud kipanya, mezani kulikua na chupa za maji ambayo kwa muundo wake ni chupa ya Kilimanjaro, ila yalikua yameondolewa ile karatasi ya label inayoonesha jina la maji, kitu ambacho si cha kawaida kwenye interviews zinazorushwa kwenye online media..nashangaa mtu amefariki ila bado unamchukia, ni kipi kikubwa walifanyiana
Chanzo cha ugomvi na chuki baina ya Reginald Mengi na Rostam Aziz ilikuwa nini haswa? Ukiachana na walivyotuambia kwenye vyombo vya habari?
View attachment 3169869View attachment 3169870
ROSTAM AZIZI NI JAMBAZI LA TAIFA ...KUNA SIRI KUBWA SANA NYUMA YA HUYO JAMBAZI HATA KIFO CHA MTIKILA KUNA UWEZEKANO NI MUUSIKAHabarini,
Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari
Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda
Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo akihojiwa na kina masoud kipanya, mezani kulikua na chupa za maji ambayo kwa muundo wake ni chupa ya Kilimanjaro, ila yalikua yameondolewa ile karatasi ya label inayoonesha jina la maji, kitu ambacho si cha kawaida kwenye interviews zinazorushwa kwenye online media..nashangaa mtu amefariki ila bado unamchukia, ni kipi kikubwa walifanyiana
Chanzo cha ugomvi na chuki baina ya Reginald Mengi na Rostam Aziz ilikuwa nini haswa? Ukiachana na walivyotuambia kwenye vyombo vya habari?
View attachment 3169869View attachment 3169870
Wana sema sijui wa zamani?Ni ugomvi mpya au ule ule wa zamani?
Hao beef lao lilikua zamani,enzi za ufisadi papa, Mengi alimuita RA na YM mafisadi papaWana sema sijui wa zamani?
anhaa ko akaona Kama competition, ndio nasikia ali pelekwa mahakamani na manji aka mlipa dola 1 ?Hao beef lao lilikua zamani,enzi za ufisadi papa, Mengi alimuita RA na YM mafisadi papa
Na kikubwa RA aliingia na yeye ktk biashara ya Media
RA tulikuwa nae msiba wa EL na alilia sana.Kuhusu ugomvi wao ni kuingiliana kwenye maslahi ya biashara,Na hasa RA kupiga ishu kimafia wakati Mengi akifuata sheria za nchi na kibiashara.Mengi na Rostam walikua marafiki huko nyuma, watumiaji wa simu za mkononi wale wa miaka mingi mtakumbuka, wakati Mobitel/buzz/tiGo/Yas wanaingia nchini, airtime ilikua inachajiwa kwa dakika so hata ukiongea na mtu kwa sekunde 5, bei ni dakika 1 or ukiongea na mtu kwa sekunde 62, bei utachajiwa kwa dakika 2, Vodacome walikuja na kuendelea na mfumo huo huo wa mobitel, airtel/celtel ndio walikuja kuleta mapinduzi ya mawasiliano; kwanza walifuta vocha kwa dola instead walianzisha matumizi ya Tsh badala ya dola ya Marekani halafu wakawa wana chaji kwa idadi ya sekunde; walio rekebisha mfumo wa dakika to sekunde kwa mtandao wa Vodacom, walikua Rostam na mzee Mengi. Shida ilianza baada ya JK kuingia madarakani, ufisadi ulipamba moto hasa, nadhani Mengi alichoshwq na wizi uliokua unaendelea nchini, akataja orodha ya wapigaji wakubwa nchini, majina ya Mengi hayakua na tofauti kubwa sana na ile list ya Dr. Slaa alioitaja pale Mwembeyanga, Mengi alitaja 5 tu out of 11 ya Chadema.
Kuhusu RA kutokwenda kwenye msiba wa Mengi, nadhani hilo sio issue, Waasia wengi hawqendagi kwenye misiba ya Waswahili, binafsi sijawahi kuwaona, sikumbuki kama RA alihudhuria msiba wa swahiba wake mzee Lowassa, sina hakika. Again kuhusu maji na label, labda wewe ndio utakua umesahau, watu wote maarufu wakiwa wanatumia brand yeyote kama hakuna mahusiano ya kibiashara halafu with camera ON huaga wanatoa label cause or else atakua anaitangaza biashara ya mtu bila yeye kupata chochote, ipo duniani kote. Watu maarufu kuna baadhi ya bidhaa wakinunua wanalipwa, iko hivo. Kwani hizi tamthiria za kwenye ving'amuzi vyetu, waigizaji wake huaga wana kunywa maji yenye label? Jua kali tu, beer zao zina label ya Jua Kali, umewahi kuiona beer ya Jua kali anywhere in Tanzania? Biashara na matangazo