TBT: Reginald Mengi na Rostam Aziz walikuwa na ugomvi gani mkubwa kiasi cha wao kuchukiana kiasi hiki?

Kwa hiyo ukishajua atakusaidia nini?
 
ROSTAM AZIZI NI JAMBAZI LA TAIFA ...KUNA SIRI KUBWA SANA NYUMA YA HUYO JAMBAZI HATA KIFO CHA MTIKILA KUNA UWEZEKANO NI MUUSIKA
 
Mengi na Rostam walikua marafiki huko nyuma, watumiaji wa simu za mkononi wale wa miaka mingi mtakumbuka, wakati Mobitel/buzz/tiGo/Yas wanaingia nchini, airtime ilikua inachajiwa kwa dakika so hata ukiongea na mtu kwa sekunde 5, bei ni dakika 1 or ukiongea na mtu kwa sekunde 62, bei utachajiwa kwa dakika 2, Vodacome walikuja na kuendelea na mfumo huo huo wa mobitel, airtel/celtel ndio walikuja kuleta mapinduzi ya mawasiliano; kwanza walifuta vocha kwa dola instead walianzisha matumizi ya Tsh badala ya dola ya Marekani halafu wakawa wana chaji kwa idadi ya sekunde; walio rekebisha mfumo wa dakika to sekunde kwa mtandao wa Vodacom, walikua Rostam na mzee Mengi. Shida ilianza baada ya JK kuingia madarakani, ufisadi ulipamba moto hasa, nadhani Mengi alichoshwq na wizi uliokua unaendelea nchini, akataja orodha ya wapigaji wakubwa nchini, majina ya Mengi hayakua na tofauti kubwa sana na ile list ya Dr. Slaa alioitaja pale Mwembeyanga, Mengi alitaja 5 tu out of 11 ya Chadema.
Kuhusu RA kutokwenda kwenye msiba wa Mengi, nadhani hilo sio issue, Waasia wengi hawqendagi kwenye misiba ya Waswahili, binafsi sijawahi kuwaona, sikumbuki kama RA alihudhuria msiba wa swahiba wake mzee Lowassa, sina hakika. Again kuhusu maji na label, labda wewe ndio utakua umesahau, watu wote maarufu wakiwa wanatumia brand yeyote kama hakuna mahusiano ya kibiashara halafu with camera ON huaga wanatoa label cause or else atakua anaitangaza biashara ya mtu bila yeye kupata chochote, ipo duniani kote. Watu maarufu kuna baadhi ya bidhaa wakinunua wanalipwa, iko hivo. Kwani hizi tamthiria za kwenye ving'amuzi vyetu, waigizaji wake huaga wana kunywa maji yenye label? Jua kali tu, beer zao zina label ya Jua Kali, umewahi kuiona beer ya Jua kali anywhere in Tanzania? Biashara na matangazo
 
RA tulikuwa nae msiba wa EL na alilia sana.Kuhusu ugomvi wao ni kuingiliana kwenye maslahi ya biashara,Na hasa RA kupiga ishu kimafia wakati Mengi akifuata sheria za nchi na kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…