Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
LolMachakos na Bungoma siku hizi zimekua nchi [emoji23]...wewe endelea kupiga ma round hapo Korogocho
Nitawaambia wamesalimiwa na thisdayes kutoka LDC.Poa.. wasalimie wasee wa mtaa
Watakuona wewe mwongo una wezaje kuchat na mtu kama mimi halafu bado unayumba yumba tu mtaani.Nitawaambia wamesalimiwa na thisdayes kutoka LDC.
Nitawaonyesha hiiWatakuona wewe mwongo una wezaje kuchat na mtu kama mimi halafu bado unayumba yumba tu mtaani.
Barabara ya Dar-Moro iko busy kuliko barabara zote Za kaunti za Kenya,Naomba nikuelimishe usitegemee sana habari za vijiweni huko kwenu...
Binafsi nimesafiri mara nyingi Dar to Morogoro nikitumia aidha gari binafsi au usafiri wa mabasi ya Aboud, na hunichukua masaa sita kwa huo umbali wa kilomita 200km
SGR ya Kenya, Nairobi to Mombasa umbali wa kilomita 500km huchukua masaa manne, huo ni umbali mara mbili zaidi ya Dar to Moro.
Huu usafiri wa SGR unawabeba wasafiri wengi kwa mpigo na mizigo yao, yaani kwa sasa hivi ni biashara kwa kwenda mbele, waulize Wapemba ambao wamechangamkia hii fursa wakati nyie mnalea machungu na wivu kwa jinsi mlivyo mivivu.
Barabara ya Dar-Moro iko busy kuliko barabara zote Za kaunti za Kenya,
Kwaiyo, kutoka Moro hadi chalinze Hadi Dar unawezaunguza hadi masaa matatu, Imagine,
Kama unataka utumie 1.30hrs Safari usiku na Private car yako, maliza dashboard yako, Zaidi ya Hapo itakulazimu uende kwa 50kmh
Ila pia Dar Moro sio Km200, ni less than that,
Sizani kama kuna mtu yupo Dar hajawahi kupita hiyo road kuelekea mikoa mbali mbali. Kama wapo watakuwa wachache sana. Ishu ilikua sababu za wewe kutumia masaa 6. Ukweli iyo njia inasumbua sana kutokana na speed limits. SGR ikikamilika itasaidia sana, ila katika hali ya kawaida masaa 6 ni mengi labda vile mlikua mnasimama ili mpate viburudisho. Dar-Moro katika hali ya kawaida minimum ni masaa 2 na nusu, max ni masaa 5 inategemea na muda uliyo safiri na aina ya gari uliyotumia.Hiyo ruti nimeichezea sana, vizuizi vya mapolisi mumeweka kama njugu karanga, jamaa kazi kujificha kwenye vichaka na matochi yao yale. Japo kwa gari binafsi siwezi zungumzia sana maana kila mara tumezoea kusimama maeneo kadhaa kupata viburudisho, lakini kwa basi la Abood au BM tokea Ubungo nimewahi kuhesabu masaa tena mara kadhaa, hivyo najua ninachozungumza kuhusu, kwa mtu anayebisha kwamba haiwezekani masaa sita atakua aidha hajapata fursa ya kusafiri kutoka kwenye hizo slums za Dar au amefungiwa mikoani miaka yote hajasafiri..
Halafu ijue nchi yako bro, tafuta Dar hadi Moro kwenye hii picha utajifunza kitu kuhusu umbali, hiyo ruti nimeichezea sana.
This map is fake if Kenya and zimbabwe r listed as non LDC!
Kumbe ni tokea 2013? Duh, me nimeanza isikia ya kwetu 2016.Ahadi ilikuwa hii
View attachment 915504
Mwisho wa siku yakaja haya makopo ya changaa
View attachment 915505
Wataalamu wa mambo wanadai muda wote unaotumika kwenda kwenye station, kupanda SGR na kutoka kwenye station ni almost sawa na basi. Wanadai station ziko mbali. So you use more time.Naomba nikuelimishe usitegemee sana habari za vijiweni huko kwenu...
Binafsi nimesafiri mara nyingi Dar to Morogoro nikitumia aidha gari binafsi au usafiri wa mabasi ya Aboud, na hunichukua masaa sita kwa huo umbali wa kilomita 200km
SGR ya Kenya, Nairobi to Mombasa umbali wa kilomita 500km huchukua masaa manne, huo ni umbali mara mbili zaidi ya Dar to Moro.
Huu usafiri wa SGR unawabeba wasafiri wengi kwa mpigo na mizigo yao, yaani kwa sasa hivi ni biashara kwa kwenda mbele, waulize Wapemba ambao wamechangamkia hii fursa wakati nyie mnalea machungu na wivu kwa jinsi mlivyo mivivu.
Naomba nikuelimishe usitegemee sana habari za vijiweni huko kwenu...