TBT: SGR Kenya used to be called high speed rail during construction!

Watakuona wewe mwongo una wezaje kuchat na mtu kama mimi halafu bado unayumba yumba tu mtaani.
Nitawaonyesha hii
1540895024491.png
1540895024491.png
 
Naomba nikuelimishe usitegemee sana habari za vijiweni huko kwenu...
Binafsi nimesafiri mara nyingi Dar to Morogoro nikitumia aidha gari binafsi au usafiri wa mabasi ya Aboud, na hunichukua masaa sita kwa huo umbali wa kilomita 200km
SGR ya Kenya, Nairobi to Mombasa umbali wa kilomita 500km huchukua masaa manne, huo ni umbali mara mbili zaidi ya Dar to Moro.
Huu usafiri wa SGR unawabeba wasafiri wengi kwa mpigo na mizigo yao, yaani kwa sasa hivi ni biashara kwa kwenda mbele, waulize Wapemba ambao wamechangamkia hii fursa wakati nyie mnalea machungu na wivu kwa jinsi mlivyo mivivu.
Barabara ya Dar-Moro iko busy kuliko barabara zote Za kaunti za Kenya,
Kwaiyo, kutoka Moro hadi chalinze Hadi Dar unawezaunguza hadi masaa matatu, Imagine,
Kama unataka utumie 1.30hrs Safari usiku na Private car yako, maliza dashboard yako, Zaidi ya Hapo itakulazimu uende kwa 50/80kmh, though it takes 3-4hrs, hayo masaa 6 wewe sijui ulisafiri wapi,
Ila pia Dar Moro sio Km200, ni less than that,
 
Barabara ya Dar-Moro iko busy kuliko barabara zote Za kaunti za Kenya,
Kwaiyo, kutoka Moro hadi chalinze Hadi Dar unawezaunguza hadi masaa matatu, Imagine,
Kama unataka utumie 1.30hrs Safari usiku na Private car yako, maliza dashboard yako, Zaidi ya Hapo itakulazimu uende kwa 50kmh
Ila pia Dar Moro sio Km200, ni less than that,

Hiyo ruti nimeichezea sana, vizuizi vya mapolisi mumeweka kama njugu karanga, jamaa kazi kujificha kwenye vichaka na matochi yao yale. Japo kwa gari binafsi siwezi zungumzia sana maana kila mara tumezoea kusimama maeneo kadhaa kupata viburudisho, lakini kwa basi la Abood au BM tokea Ubungo nimewahi kuhesabu masaa tena mara kadhaa, hivyo najua ninachozungumza kuhusu, kwa mtu anayebisha kwamba haiwezekani masaa sita atakua aidha hajapata fursa ya kusafiri kutoka kwenye hizo slums za Dar au amefungiwa mikoani miaka yote hajasafiri..

Halafu ijue nchi yako bro, tafuta Dar hadi Moro kwenye hii picha utajifunza kitu kuhusu umbali, hiyo ruti nimeichezea sana.

tanroads-png.513141
 
Sizani kama kuna mtu yupo Dar hajawahi kupita hiyo road kuelekea mikoa mbali mbali. Kama wapo watakuwa wachache sana. Ishu ilikua sababu za wewe kutumia masaa 6. Ukweli iyo njia inasumbua sana kutokana na speed limits. SGR ikikamilika itasaidia sana, ila katika hali ya kawaida masaa 6 ni mengi labda vile mlikua mnasimama ili mpate viburudisho. Dar-Moro katika hali ya kawaida minimum ni masaa 2 na nusu, max ni masaa 5 inategemea na muda uliyo safiri na aina ya gari uliyotumia.
 
Naomba nikuelimishe usitegemee sana habari za vijiweni huko kwenu...
Binafsi nimesafiri mara nyingi Dar to Morogoro nikitumia aidha gari binafsi au usafiri wa mabasi ya Aboud, na hunichukua masaa sita kwa huo umbali wa kilomita 200km
SGR ya Kenya, Nairobi to Mombasa umbali wa kilomita 500km huchukua masaa manne, huo ni umbali mara mbili zaidi ya Dar to Moro.
Huu usafiri wa SGR unawabeba wasafiri wengi kwa mpigo na mizigo yao, yaani kwa sasa hivi ni biashara kwa kwenda mbele, waulize Wapemba ambao wamechangamkia hii fursa wakati nyie mnalea machungu na wivu kwa jinsi mlivyo mivivu.
Wataalamu wa mambo wanadai muda wote unaotumika kwenda kwenye station, kupanda SGR na kutoka kwenye station ni almost sawa na basi. Wanadai station ziko mbali. So you use more time.
 
Naomba nikuelimishe usitegemee sana habari za vijiweni huko kwenu...
Binafsi nimesafiri mara nyingi Dar to Morogoro nikitumia aidha gari binafsi au usafiri wa mabasi ya Aboud, na hunichukua masaa sita kwa huo umbali wa kilomita 200km
SGR ya Kenya, Nairobi to Mombasa umbali wa kilomita 500km huchukua masaa manne, huo ni umbali mara mbili zaidi ya Dar to Moro.
Huu usafiri wa SGR unawabeba wasafiri wengi kwa mpigo na mizigo yao, yaani kwa sasa hivi ni biashara kwa kwenda mbele, waulize Wapemba ambao wamechangamkia hii fursa wakati nyie mnalea machungu na wivu kwa jinsi mlivyo mivivu.

labda ulipanda jongoo, ndiyo ikachukua masaa 6.
sasa sijui Iringa ni masaa mangapi?

saa zingine uwe unaachaga kunywa chang'aa na Maandazi asubuhi.
ona matokeo YAKE. unaongea utafikiri unaota.

😂😂😂
 
Back
Top Bottom