TBT: Unadhani vijana wa zamani walikua pamba kali kuliko sasa?

Majibu sahihi ya swali lako yanaweza kupatikana huko Facebook maana huko ndo Kuna vijana wenye umri unaoendana na swali lako.
 
Majibu sahihi ya swali lako yanaweza kupatikana huko Facebook maana huko ndo Kuna vijana wenye umri unaoendana na swali lako.
Umefanya tafit mkuu ..wakat asilimia 90% ya participating hapa ni vijana....
 
Sizan kama waheshimiwa wakiwa busy Huwa wanapata muda wa kupambania watu wa chini......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…