Si kweliMiaka ya 1970s ndiyo imeishape Tanzania ya leo karibu katika kila nyanja.
Daaaa!Mzee kalume yanga kindakindaki alafu mangungu anatukana yanga kuwa malofa.View attachment 3121012MnyamaTBT | Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai 1, 1971.
Kulia kwake ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Rashidi Mfaume Kawawa na kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Simba, Ramadhani Omar Kirundi.
Siku hiyo rasmi ndio tulianza kutumia jina la Simba Sports Club kutoka Sunderland.
Chanzo Simba APP
Fuatilia vizuri nilichosema utauona huo ukweliSi kweli
Si kweli,1979s ujamaa,leo soko huriaFuatilia vizuri nilichosema utauona huo ukweli
SawaView attachment 3121012MnyamaTBT | Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai 1, 1971.
Kulia kwake ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Rashidi Mfaume Kawawa na kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Simba, Ramadhani Omar Kirundi.
Siku hiyo rasmi ndio tulianza kutumia jina la Simba Sports Club kutoka Sunderland.
Chanzo Simba APP
Azimio la Arusha lililoleta ujamaa lilianza 1967 na siyo 1970sSi kweli,1979s ujamaa,leo soko huria
Ujamaa ulikufa rasmi 1985 hapa tz,ikaanza jengwa tz mpyaAzimio la Arusha lililoleta ujamaa lilianza 1967
Lakini ujamaa haukuanzishwa 1970s kama ulivyodai.Ujamaa ulikufa rasmi 1985 hapa tz,ikaanza jengwa tz mpya
Nilisema ujamaa wa 1970sLakini ujamaa haukuanzishwa 1970s kama ulivyodai
Lakini haukuanza 1970s kwa hiyo haiwezi kuwa hoja ya kujibu point yanguNilisema ujamaa wa 1970s
Nilitaja 1970s sababu ulidai 1970s ndiyo ilishepu tz ya leo, nikasema si kweliLakini haukuanza 1970s kwa hiyo haiwezi kuwa hoja ya kujibu point yangu
Lakini umetoa point ya kitu ambacho 1970 ilikikuta ila haikukianzisha. Pia mabadiliko ya 1985 yalitokana na kuyumba kwa uchumi kulikotokana na vita ya Kagera iliyopiganwa 1978-79Nilitaja 1970s sababu ulidai 1970s ndiyo ilishepu tz ya leo, nikasema si kweli