Tbt Uzinduzi wa jengo la Simba SC na kubadilishwa kwa jina la Club kutoka Sunderland na kuwa Simba SC

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
IMG-20241010-WA0021.jpg

#MnyamaTBT | 🦁🦁
Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai 1, 1971.

Kulia kwake ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Rashidi Mfaume Kawawa na kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Simba, Ramadhani Omar Kirundi.

Siku hiyo rasmi ndio tulianza kutumia jina la Simba Sports Club kutoka Sunderland.
 
IMG-20241010-WA0029.jpg
MnyamaTBT | Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai 1, 1971.

Kulia kwake ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Rashidi Mfaume Kawawa na kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Simba, Ramadhani Omar Kirundi.

Siku hiyo rasmi ndio tulianza kutumia jina la Simba Sports Club kutoka Sunderland.

Chanzo Simba APP
 
View attachment 3121012MnyamaTBT | Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai 1, 1971.

Daaaa!Mzee kalume yanga kindakindaki alafu mangungu anatukana yanga kuwa malofa.
 
View attachment 3121012MnyamaTBT | Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai 1, 1971.

Kulia kwake ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Rashidi Mfaume Kawawa na kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Simba, Ramadhani Omar Kirundi.

Siku hiyo rasmi ndio tulianza kutumia jina la Simba Sports Club kutoka Sunderland.

Chanzo Simba APP
Sawa
 
halafu kuna watu wanaponda Christianity kuingia tanzagiza, wakati karibia kila kitu tulichonacho na tunachojivunia wakati mwingine bila hata kujua kilianzishwa baada ya ujio wa Christianity, kabla ya Ukristo hakukuwa na football club hata moja, Yanga na Simba zote zilianzishwa na western Christian people, sasa jiulizeni ni timu gani ilianzishwa na sisi na wapi leo hii? na kwa nini hamtaki kuzishangilia na kuwa mashabiki na wanachama wa hizo mlizoanzisha? wote nchi mnataka kuwa mashabiki wa yanga na simba zilizoanzishwa na Western Christian people …
 
Ujamaa ulikufa rasmi 1985 hapa tz,ikaanza jengwa tz mpya
Lakini ujamaa haukuanzishwa 1970s kama ulivyodai.

Ngoja nikupe mifano michache kwa nini nilisema 1970s ndiyo imeinfluence hadi TZ ya Leo:
1. Katiba tuliyonayo mpaka leo
2. Kuundwa kwa CCM
3. Picha hapo juu ya Simba
4. Vita ya Kagera iliyoyumbisha uchumi na kupelekea mabadiliko ya kisiasa ya 1985
5. Kifo cha Karume kilikuwa mwanzo wa Tanganyika kucontrol 100% siasa za Zanzibar
 
Nilisema ujamaa wa 1970s
Lakini haukuanza 1970s kwa hiyo haiwezi kuwa hoja ya kujibu point yangu

Ngoja nikupe mifano michache kwa nini nilisema 1970s ndiyo imeinfluence hadi TZ ya Leo:
1. Katiba tuliyonayo mpaka leo
2. Kuundwa kwa CCM
3. Picha hapo juu ya Simba
4. Vita ya Kagera iliyoyumbisha uchumi na kupelekea mabadiliko ya kisiasa ya 1985
5. Kifo cha Karume kilikuwa mwanzo wa Tanganyika kucontrol 100% siasa za Zanzibar
 
Nilitaja 1970s sababu ulidai 1970s ndiyo ilishepu tz ya leo, nikasema si kweli
Lakini umetoa point ya kitu ambacho 1970 ilikikuta ila haikukianzisha. Pia mabadiliko ya 1985 yalitokana na kuyumba kwa uchumi kulikotokana na vita ya Kagera iliyopiganwa 1978-79
 
Back
Top Bottom