Tbt Uzinduzi wa jengo la Simba SC na kubadilishwa kwa jina la Club kutoka Sunderland na kuwa Simba SC

Tbt Uzinduzi wa jengo la Simba SC na kubadilishwa kwa jina la Club kutoka Sunderland na kuwa Simba SC

View attachment 3120965
#MnyamaTBT | 🦁🦁
Aliyekuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume akitoa hotuba katika ufunguzi wa jengo la Simba lilipo mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Julai 1, 1971.

Kulia kwake ni aliyekuwa Waziri Mkuu, Rashidi Mfaume Kawawa na kushoto kwake ni Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam na Mwenyekiti wa Simba, Ramadhani Omar Kirundi.

Siku hiyo rasmi ndio tulianza kutumia jina la Simba Sports Club kutoka Sunderland.
MAKOBAZI SPORTS CLUB.
 
halafu kuna watu wanaponda Christianity kuingia tanzagiza, wakati karibia kila kitu tulichonacho na tunachojivunia wakati mwingine bila hata kujua kilianzishwa baada ya ujio wa Christianity, kabla ya Ukristo hakukuwa na football club hata moja, Yanga na Simba zote zilianzishwa na western Christian people, sasa jiulizeni ni timu gani ilianzishwa na sisi na wapi leo hii? na kwa nini hamtaki kuzishangilia na kuwa mashabiki na wanachama wa hizo mlizoanzisha? wote nchi mnataka kuwa mashabiki wa yanga na simba zilizoanzishwa na Western Christian people …
Angalia karibia wote hapo mbele wamevaa vibakubaku aka vibarakashia..
HII INA MAANISHA NINI MJUMBE?
 
Angalia karibia wote hapo mbele wamevaa vibakubaku aka vibarakashia..
HII INA MAANISHA NINI MJUMBE?

timu iliitwa sunderland huo ni mji nchini uingereza, yanga actually ni young african sports club ilianzishwa mwaka 1935, zote zilianzishwa na Christianity, uiaslamu na football clubs wapi na wapi?
 
Back
Top Bottom