Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
Leo tuongee na kizazi cha nyinyi mademu mnaojiita the prettiest generation
Kwenye TBT nikasema nithrowback na ngoma za Moe na FA Kama Unataka Demu na Mabinti
Oyaa mule zinatajwa pisi zilizokuwa natural na za kwenda za miaka ya mapema ya 2000 zilizotikisa nchi. Sasa hivi ni age go lakini ukikutana nazo nyingi bado zinawakalisha hata maGen Z
Iko hivi nyinyi mademu wa miaka hii mnaojiona warembo kupita wote, tulieni kidogo
Leo una ring light, filter, FaceTune, makeup ya saa mbili, pose 14 halafu eti caption: “Natural beauty"
Natural wapi mama? Hata passport photo yako ina versions tatu
Wale wa zamani walikuwa wanageuza shingo za watu barabarani bila notification
Wewe ukitoka bila make up na filter unaanza kutafuta mwanga wa parking lot. WTF!
Wao walikuwa na uzuri wa macho. Wewe una uzuri wa camera settings
Na usije ukasema, “Lakini mimi nina followers 100K.” Followers si beauty contest hata kuku ana followers akitokea TikTok.
Kabla ya Instagram, TikTok, filters na makeup tutorials, Bongo tayari ilikuwa na pisi OG natural ambazo hazijadungwa masindano waliokuwa wanavutia bila kubleach rangi ya ngozi zao
Ewe bibie uliyebleach ngozi na kudungwa misindano ya kuongeza mitako kuna kizazi kilichopita kabla yako, na kilikuwa na mademu wa hatari bila filters, bila FaceTune, camera za iPhone na bila AI
Enzi zile Mwana FA akaja na “Mabinti”, akawataja kina Miriam Odemba, Stara, Aminata Keita na wengine waliokuwa wanazungumzwa sana.
Jay Moe na wenzake nao wakaja na “Kama Unataka Demu”, wakataja majina ya mademu waliokuwa wanatikisa mitaa ya Dar. Mademu walikuwa wakali na hawakuhitaji kamera za 360°
Miriam Odemba hakuhitaji FaceTune. Ray C hakuhitaji filter. Stara hakuhitaji AI. Wao walikuwa content camera ilikuwa accessory tu
Kwa hiyo dada wa 2026 usijione mrembo kisa tu sababu una followers 50K, filter kali na picha za angles saba remember: beauty haikuanza Instagram.
Leo mnajiita "pisi kali” mnanuka kisamaki, mkipigwa doggy mnanuka minduku.
Kwa kifupi:

- Zamani: mrembo → picha inapigwa
- Leo: picha inapigwa → mrembo anatengenezwa kmmmk
Heshimuni waliowatangulia, mabinti. Beauty industry mnayo leo ilikuta tayari kuna wenyewe waliweka standard
Uzuri una generations, dada. Usijione umevunja rekodi ambayo haikuwepo.