Komeo Lachuma JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 7,926 Reaction score 17,030 Sep 7, 2024 #1 Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti. Your browser is not able to display this video.
Anasema Mtume na Maswahaba wake hawakufanya hivi. Hawakuwa wakibweka asubuhi kujifanya wao ndo wanaswali sana kuliko wengine. Pata habari kamili. Video inaonyesha ilikuwa ya mwaka 2001 wakati Sheikh Saleh Zagar akiendelea kuzungumza na baadhi ya waumini moja ya Msikiti. Your browser is not able to display this video.
Robot la Matope JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 8,174 Reaction score 16,794 Sep 7, 2024 #2 Madini tumeletewa!! Yanatusumbua saaana huku kanda ya ziwa na kule Kongo ya Mashariki. Waraaniwe waarabu na wamisionari
Madini tumeletewa!! Yanatusumbua saaana huku kanda ya ziwa na kule Kongo ya Mashariki. Waraaniwe waarabu na wamisionari
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Sep 7, 2024 #3 Huyu kaongea logic