TBT ya kibabe

Haya ndo mabadiliko mkuu hongera japo unaonekana umefight sana sura kama vile ina ngeu ngeu
Asanteeee sana Mkuu. Yamekuwa ni mapambano makali sana, haielezeki Mzee hahaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan ametumia ufundi sana kwenye kuweka picha, tuna wivu sana sisi hatupendi wenzetu wawe vizuri.

Yaani tungemkejeli balaa...
baadhi ya watanzania wana roho mbaya sana.
kuna watu walianza kuandika comment za kumfanyia dhihaka kupitia ile picha yake ya kwanza ya tbt.

halafu wamekuja kukasirika na kununa baada ya jamaa kupost picha yake ya sasa.
 
Wacha tuchukuliane na kila mtu. Tunajifunza pia kupitia wao.
 
Karibu kahawa mzee bado nko mjini nayajenga
Siondoki mpaka kieleweke

Ova
View attachment 2420880
karibu mjini ndg yangu.
ila hii kahawa inaonekana ya kibabe sana. inafanana na cappuccino.

lazime nilipe leoleo.....ngonja kwanza nimalize kuswim. nipo na shemeji yako chimbo flani hivi huku njia ya bagamoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…