Sewando MP
Member
- Jan 25, 2014
- 56
- 116
- Thread starter
- #61
Ilikuwa Temeke Mkuu, 19th Nov 2011Wapi hapa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwa Temeke Mkuu, 19th Nov 2011Wapi hapa mkuu
Hawajui na kunguni zenyewe sisi tumelala nazo sana tu [emoji23][emoji23][emoji23]wenye roho mbaya walishajipanga kumsagia kunguni....kawapiga na kitu kizito mno....wamepoteana.[emoji1787]
Au sio [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]Huu mwonekano unazungumza mengi
Kitu cha kwanza huna ushawishi,hujui vitu vingi,....
Au sio [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Lengo la post limeshajulikana
Hapana Kiongozi. Ndo yalikuwa maisha yenyewe haha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulikua kwenye band ya matarumbeta?
Aaaaaah miaka imeendaIlikuwa Temeke Mkuu, 19th Nov 2011
SanaaaaaAaaaaah miaka imeenda
Hahaha [emoji23] kweli hakuna Mzee pesaa tu..umetoka uzeeni umerudi ujananiFananisha na Mimi wa Sasa hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2420743
Haha sawa mkuuHapana Kiongozi. Ndo yalikuwa maisha yenyewe haha![]()
![]()
![]()
![]()
Fananisha na Mimi wa Sasa hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2420743
Ulikuaga village pastor?There is a Race, I must Run
There is a Victory to be Won
Give me Power, Every hour
To be true, Ooh Lord
#11YearsOfVictory
#19thNevember2011
View attachment 2420685
Hahahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Au sio?Picha ya zamani nzuri kuiangalia ukiwa na mafanikio
Hapana, Ni hapa hapa Mjini, Dar. Tena Temeke kwa Wajanja hahahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulikuaga village pastor?
Asante sana Mkuu. Nimekusoma.Ukipost tbt weka na ulivo wakati uliopo , sisi ni wazee wa kufyatuka lolote, hongera ulianza kua mzee ukaenda kwenye ujana,
AsanteeeeeeSafi
Kwakweliii, Pesa sabuni ya Roho na Mwili hahaaa [emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Au unasemaje?Hahaha [emoji23] kweli hakuna Mzee pesaa tu..umetoka uzeeni umerudi ujanani
UhakikaHahahaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Au sio?