TBT ya Kiboko ya Wachawi, Mzee wa Laki Tano-Tano

TBT ya Kiboko ya Wachawi, Mzee wa Laki Tano-Tano

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Kiboko ya wachawi na mkewe wakiwa wanajitafuta tafuta

FB_IMG_1725469423757.jpg
 
Safi sana kiboko ya wachawi Kwa kuwanyoosha wachawi.wachawi ni wale ambao hawawezi kujua kuwa wanatapeliwa.
 
Siyo dini jau ukiingia kichwa kichwa ndiyo inakuwa jau.

Watanzania uvivu na kupenda sana dezo ndiyo kunakowaponza.
Upo sahihi watu wanataka kupata mihela na utajiri kupitia wachungaji wahuni kama hao ndio wanaibiwa. Afu lijamaa limerudi kwao linawatukana kmmk
 
na alishatoboa, kabaki kuwapiga madogongo.. hii dunia kuna watu sijui akili zao wamezifungia wapi.. maana hadi wakili wa viwango Masha Lau.. nae akaokotwa 😂😂
Ndipo uamini kwamba hata mjinga anaweza akawa wakili msomi..🤣
 
Hapa alikuwa bado hajaanza kujipaka mkorogo aisee. Baada ya kupiga njuru za kutosha kutoka kwa watanzania mabwege, ndipo akaanza kujikoboa.
500k hatareee pesa sabuni ya rohoo
 
maana hadi wakili wa viwango Masha Lau.. nae akaokotwa 😂😂
Kama utakua ume notice, haikupita muda mrefu to Lawrence Masha atimbe kwa kiboko ya wachawi, serikali ikamfurumusha huyo bwana.. Huwa najiuliza sana ,was it a coisedence??? Yan kitendo cha Masha kuingia tu oale kanisani na ile video yake kuanza ku trend, Serikali ukaingilia kati.. laZima kuna kitu
 
Back
Top Bottom