TBT ya Kiboko ya Wachawi, Mzee wa Laki Tano-Tano

Safi sana kiboko ya wachawi Kwa kuwanyoosha wachawi.wachawi ni wale ambao hawawezi kujua kuwa wanatapeliwa.
 
Siyo dini jau ukiingia kichwa kichwa ndiyo inakuwa jau.

Watanzania uvivu na kupenda sana dezo ndiyo kunakowaponza.
Upo sahihi watu wanataka kupata mihela na utajiri kupitia wachungaji wahuni kama hao ndio wanaibiwa. Afu lijamaa limerudi kwao linawatukana kmmk
 
na alishatoboa, kabaki kuwapiga madogongo.. hii dunia kuna watu sijui akili zao wamezifungia wapi.. maana hadi wakili wa viwango Masha Lau.. nae akaokotwa πŸ˜‚πŸ˜‚
Ndipo uamini kwamba hata mjinga anaweza akawa wakili msomi..🀣
 
Hapa alikuwa bado hajaanza kujipaka mkorogo aisee. Baada ya kupiga njuru za kutosha kutoka kwa watanzania mabwege, ndipo akaanza kujikoboa.
500k hatareee pesa sabuni ya rohoo
 
maana hadi wakili wa viwango Masha Lau.. nae akaokotwa πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama utakua ume notice, haikupita muda mrefu to Lawrence Masha atimbe kwa kiboko ya wachawi, serikali ikamfurumusha huyo bwana.. Huwa najiuliza sana ,was it a coisedence??? Yan kitendo cha Masha kuingia tu oale kanisani na ile video yake kuanza ku trend, Serikali ukaingilia kati.. laZima kuna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…