Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA! Yasema CHADEMA waliomba kibali cha kuruka kwenda Dar leo saa tatu asubuhi

walizani CCM atashinda uchaguzi huu ndio wakaingia woga ,lakini sasa watu wengi akili zao zimefunguka ,hakuna sehemu CCM itashinda.
 
Kweli ujinga ni mzigo Ila ww ulionao ni zaidi ya ujinga! Kwa hiyo unaamini shoga alilazimisha ndege na ikaruka bila kibali eeh!?
 
Wewe unayejua haya tuambie Basi ilikuwaje๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!?
 
Uongo wao mwisho ni leo.

Watavuna walichopanda. Nilikuwa naingoja kwa hamu sana siku hii ya leo tuyakate mikia.
 
Wewe unayejua haya tuambie Basi ilikuwaje๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚!?
Mimi najua utaratibu wa ofisi inapopokea barua inategemea barua inahusu nini na inatakiwa ijibiwe kwa muda gani na wakati gani ikitegemea na mazingira ndio maana yangu si vinginevyo, ila nafahamu sana kama walivyosema wamepokea barua saa 3 ndani ya dka 15 walikuwa wajibu chadema na chadema ndani ya nusu saa wawe wamejibu maana yake wasingefika kujibiwa saa 6 mchana. elewa hivyo sawa.
 


Tatizo CDM wanadhani wananchi ni mediocres. Mtu unagombea Urais nafasi kubwa kabisa nchi unakuwa muongo muongo Kama mtoto wa chekechea? Lisu is too idiot
 
TCAA tawi la mbogamboga wamekuja kuweka upepo sawa baada ya kuvuma sana,wamejitadhimini hivi Lisu anaweza kuwa raisi itakuwaje tutaweka wapi sura zetu
 
TCAA jirekebisheni jamani - tusingekuwa na upinzani mkali kama msingekuwa mnamshauri vibaya Rais

Kila jambo kwenye kila mamlaka hupenda kutumia nguvu kuliko common
Angalau unakuwa objective,nimekupa like.
Tuache ushabiki. Tuite kijiko kijiko na si koleo dogo.
 
Ulitarajia wakiri hujuma dhidi yake??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ