Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ujinga ni mzigo Ila ww ulionao ni zaidi ya ujinga! Kwa hiyo unaamini shoga alilazimisha ndege na ikaruka bila kibali eeh!?Wambieni hao TCAA ni wapuuzi tu kama walivyo Lumumba walojaza matope ,ujinga, upumbavu ..
T.Lissu na team yake sio wajinga, eti kurekebisha Kibali iwachukue masaa manne .
Ukweli ni kuwa Mwamba Tundu Antipas Lissu aliamua mwenyewe kwa makusudi kabisa, kumuamuru Rubani wa Chopa yake kuondoa mzigo kama ambavyo aliamua kutumia Mtumbwi kuvuka ziwa.
HUYO NDIO LISSU.
Wewe unayejua haya tuambie Basi ilikuwaje😂😂😂😂😂!?TCAA hamjasema mlipokea barua saa 3 na mkawajibu warekebishe sangapi hapo mnakwepa mnajua tu muda wao kurekebisha barua, mliamua kutoa barua baada ya yeye kutangaza kuwa ataondoka bila kibali. wao chadema hawawezi kukaa na barua wairekebishe kwa masaa 4 haiwezekani hapa kuna jambo lilibuma kaona mfanye fasta tu mumruhusu isilete taswira mbaya.
Uongo wao mwisho ni leo.Wasalaam wana jamvi!
Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao!
Mamalaka ya anga wameweka wazi kuwa helkopta ya Lissu haikuwa na Ratiba ya kwenda dar ikitokea Kilimanjaro bali ilikuwa na Ratiba ya kutoka Killimanjaro kurudi Nairobi
Mamlaka wanasema State Aviation walipeleka maombi ya mabadiliko ya ratiba hiyo saa tatu asubuhi wakisema watakwenda Dar -Tanganyika Packers.
Mamlaka ya anga wanasema hata hivyo maombi ya kibali hicho yalikuwa na mapungufu kwani kwamujibu wa sheria za anga unapoomba kibali unatakiwa kuonesha unakwenda wapi na baada ya hapo utakwenda wapi..hivyo wamiliki wa helkopta waliambiwa wakaeekebishe maombi na kuondoa mapungufu ili wapewe kibali!
Hata hivyo chadema na wamiliki walirekebisha maombi yao na kupewa ruhusa ya kwenda Dar Tanganyika Packers!
Hivyo si kweli walinyimwa kibali bali walijichelewesha wenyewe wakati wanaujua utaratibu!
View attachment 1613954
Mimi najua utaratibu wa ofisi inapopokea barua inategemea barua inahusu nini na inatakiwa ijibiwe kwa muda gani na wakati gani ikitegemea na mazingira ndio maana yangu si vinginevyo, ila nafahamu sana kama walivyosema wamepokea barua saa 3 ndani ya dka 15 walikuwa wajibu chadema na chadema ndani ya nusu saa wawe wamejibu maana yake wasingefika kujibiwa saa 6 mchana. elewa hivyo sawa.Wewe unayejua haya tuambie Basi ilikuwaje😂😂😂😂😂!?
Wasalaam wana jamvi!
Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao!
Mamalaka ya anga wameweka wazi kuwa helkopta ya Lissu haikuwa na Ratiba ya kwenda dar ikitokea Kilimanjaro bali ilikuwa na Ratiba ya kutoka Killimanjaro kurudi Nairobi
Mamlaka wanasema State Aviation walipeleka maombi ya mabadiliko ya ratiba hiyo saa tatu asubuhi wakisema watakwenda Dar -Tanganyika Packers.
Mamlaka ya anga wanasema hata hivyo maombi ya kibali hicho yalikuwa na mapungufu kwani kwamujibu wa sheria za anga unapoomba kibali unatakiwa kuonesha unakwenda wapi na baada ya hapo utakwenda wapi..hivyo wamiliki wa helkopta waliambiwa wakaeekebishe maombi na kuondoa mapungufu ili wapewe kibali!
Hata hivyo chadema na wamiliki walirekebisha maombi yao na kupewa ruhusa ya kwenda Dar Tanganyika Packers!
Hivyo si kweli walinyimwa kibali bali walijichelewesha wenyewe wakati wanaujua utaratibu!
View attachment 1613954
TCAA tawi la mbogamboga wamekuja kuweka upepo sawa baada ya kuvuma sana,wamejitadhimini hivi Lisu anaweza kuwa raisi itakuwaje tutaweka wapi sura zetuWasalaam wana jamvi!
Baada ya mgombea wa CHADEMA kuwatuhumu mamlaka ya anga kumchelewesha kwenda Dar kwa kutumia helkopta ...leo mamlaka ya anga wamemjibu na kushangazwa na upotoshaji wao!
Mamalaka ya anga wameweka wazi kuwa helkopta ya Lissu haikuwa na Ratiba ya kwenda dar ikitokea Kilimanjaro bali ilikuwa na Ratiba ya kutoka Killimanjaro kurudi Nairobi
Mamlaka wanasema State Aviation walipeleka maombi ya mabadiliko ya ratiba hiyo saa tatu asubuhi wakisema watakwenda Dar -Tanganyika Packers.
Mamlaka ya anga wanasema hata hivyo maombi ya kibali hicho yalikuwa na mapungufu kwani kwamujibu wa sheria za anga unapoomba kibali unatakiwa kuonesha unakwenda wapi na baada ya hapo utakwenda wapi..hivyo wamiliki wa helkopta waliambiwa wakaeekebishe maombi na kuondoa mapungufu ili wapewe kibali!
Hata hivyo chadema na wamiliki walirekebisha maombi yao na kupewa ruhusa ya kwenda Dar Tanganyika Packers!
Hivyo si kweli walinyimwa kibali bali walijichelewesha wenyewe wakati wanaujua utaratibu!
View attachment 1613954
nichagulieni wa ccm mkiniletea wa upinzani sintawaletea maendeleo '' huku akisikika maendeleo hayana chama''CHADEMA ni kiwanda cha uongo
Angalau unakuwa objective,nimekupa like.TCAA jirekebisheni jamani - tusingekuwa na upinzani mkali kama msingekuwa mnamshauri vibaya Rais
Kila jambo kwenye kila mamlaka hupenda kutumia nguvu kuliko common
Two different items of the same action implication. Please, kindly be guided.Jifunze upya kusoma haya mambo.
Hivi ni vitu viwili tofauti.
Ulitarajia wakiri hujuma dhidi yake??Wasalaam wana jamvi!