Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

CDM hawakuhitaji kujibiwa na mamlaka ya anga walihitaji majibu kutoka kwa mtoa huduma waliemkodi. Sasa ilikuaje mpaka wanafika uwanjani ikiwa wahusika wa ndege husika walishapewa majibu tangu Jana.
Hawa wahusika wa ndege nadhani wameshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo kwa mteja wao CDM na inabidi walipe fidia ili wajifunze kutochezea muda wa wateja.
Wangetoa taarifa mapema CDM wangejipanga kuona njia mdadala ya kutumia kukamilisha ratiba..

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Kama umri wake ulikua unaruhusu na akaanguka sababu ya umri haitawekwa lakini Kama alikua ni mzee na akaangusha chombo na Sheria ilikua haimruhusu hiyo itakua ni moja ya hoja ya kuzingatiwa wakati wa uchunguzi wa ajali husika.
Kujua kwanini alipata Kibali, kulikua na ulazima gani wa kumtumia rubani mzee? Je hakuna Marubani wengune?
Watu hawataamini kwenye coincidence kwamba imetokea tu bahati mbaya hata angeendesha mwingine kijana ingetokea tu. Kwakuwa hakuna tatizo lililotokea utaona Mamlaka wanaroho mbaya ila likitokea tatizo itaonekakana kwanini waliruhusu.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
kwa andiko lako hili mkuu so wamanisha mtu mzee hastaili kuishi , kwamba kama rubani mzee akipata ajalia ni sawa au ila kwa kijana sio sawa?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Tangu lini ccm ikafuata dheria?
Sasa mbona nyie mnaojua kufata Sheria,mnataka kupingana na Sheria ya umri wa marubani wenye kukidhi vigezo vya kurusha ndege🤔? Au ndo kusema na nyie leo mmeamua kuiiga CCM?
 
CDM hawakuhitaji kujibiwa na mamlaka ya anga walihitaji majibu kutoka kwa mtoa huduma waliemkodi. Sasa ilikuaje mpaka wanafika uwanjani ikiwa wahusika wa ndege husika walishapewa majibu tangu Jana.
Hawa wahusika wa ndege nadhani wameshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo kwa mteja wao CDM na inabidi walipe fidia ili wajifunze kutochezea muda wa wateja.
Wangetoa taarifa mapema CDM wangejipanga kuona njia mdadala ya kutumia kukamilisha ratiba..

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Mkuu 👏👏 atakaeshindwa kuelewa hapa,Basi atakuwa na matatizo ya ubongo.
 
Ccm tafadhali tunaomba mrudishe nchi yetu toka mikononi mwa mhutu mliokoikabidhi , mnaona mnakoipeleka nchi , mnataka kutuletea shida zisizokuwa na sababu , jitu linaloongoza nchi kwa akili na mawazo ya dark ages hata siasa ya elimu ya sekondari halikusoma , haliijui
IMG_20200910_181204_7.jpg
 
Mbona watu kiduchu, ndio Bagamoyo hiyo? Duh.
Suala si idadi ya watu ila ujumbe unaofikishwa. Hadi sasa Lissu anachimbia kaburi lake la kisiasa kwa hoja na lugha anayotumia.

Anavyoona umati wa watu kwenye kampeni za Magufuli, wengine wakimsimamsisha njiani anadhani njia sahihi ni kumkejeli kwenye kampeni zake
 
Hili nililitegemea maana hata ukiangalia ile barua ya chadema wanakwambia eti TCAA wametaja sababu zisizoeleweka ila hawakuziweka hizo sababu kwenye barua yao. Hii mijitu imekuwa ya ajabu sijawahi ona. Makosa yanakuwa kwao ila haraka inakimbilia kwa wananchi kupotosha ili ionewe huruma. Kwa utoto wa saizi hii Tobo Lissu Ikulu utaendelea kuisikia tu kumguru wewe
 
Kichwa maji soma vizuri waliomba kibali cha msamaha wa kutumia rubani wa zaidi ya umri ulio wekwa kisheria na wamekataliwa kwakuwa ni kinyume cha sheria kutumia rubani mwenye umri wa zaidi ya 65 years!

Mnapaswa kuwaomba radhi Mamlaka ya anga muache kuropoka ropoka

We ndo kichwa maji..kwann wakatae na ni world wide inajulikana kwamba kama kuna uhaba mnaongeza age kidogo ...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ccm tafadhali tunaomba mrudishe nchi yetu toka mikononi mwa mhutu mliokoikabidhi , mnaona mnakoipeleka nchi , mnataka kutuletea shida zisizokuwa na sababu , jitu linaloongoza nchi kwa akili na mawazo ya dark ages hata siasa ya elimu ya sekondari halikusoma , haliijuiView attachment 1565645
Kafungue Uzi wa haya malalamiko yako tutakuja kukuelewesha. Kwasasa acha tushughulike na mada husika.
 
Kama chadema ile barua yao ingepeleka lawama kwa mtoa huduma wao basi TCCA wasingejibu chochote, tatizo ile barua ya chadema ilisema TCCA imewazuia kitu ambacho sio kweli
CDM hawakuhitaji kujibiwa na mamlaka ya anga walihitaji majibu kutoka kwa mtoa huduma waliemkodi. Sasa ilikuaje mpaka wanafika uwanjani ikiwa wahusika wa ndege husika walishapewa majibu tangu Jana.
Hawa wahusika wa ndege nadhani wameshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo kwa mteja wao CDM na inabidi walipe fidia ili wajifunze kutochezea muda wa wateja.
Wangetoa taarifa mapema CDM wangejipanga kuona njia mdadala ya kutumia kukamilisha ratiba..

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Hii inaitwa "state organized plan" kumvuruga na kumharibia ratiba mshindani wa Magufuli ktk uchaguzi huu....

Kwenye "state organized plans", mgombea ambaye wakati huohuo anakuwa na mamlaka ya cheo kilekile kinachogombaniwa (cha Urais) anaweza kutumia taasisi za umma kumnufaisha yeye na kuwahujumu washindani wake...

TCAA ni taasisi ya umma na mtendaji wake ni mteule wa Rais Magufuli....

Hivi tunadhani kuwa Magufuli na watu wake hawezi kutoa amri ya kuwa atumie technicalities zozote za kisheria na kikanuni kumkwamisha mshindani hatari na tishio wa Jiwe?...

Jibu ni kuwa, inawezekana 100% na ndivyo ilivyofanyika na utetezi huu wa TCAA ulitegemewa na kila mtu mwenye akili timamu...!!

Lengo la hii yote ni kujaribu kumbeba na kumpa unafuu mgombea wa CCM...

Ushahidi ni kuwa mara baada ya kufanikiwa kuizuia helicopter kuruka in late ours, MATAGA fast fast walianza kutema ugoro wa propaganda zao kwenye mitandao ya kijamii kuwa mgombea Urais wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu ashindwa kuendelea na kampeni Leo

Wengine wakisema, akosa watu Bagamoyo, Chalinze na Mlandizi. Lakini ukweli ni kuwa, kampeni zimeendelea na nyomi ya watu wanaofika kwenye mikutano ya huyu jamaa kwa hiari yao, inajaa kama kawaida....

Kwa hiyo hatupaswi kuona ajabu bali ni kuhakikisha kuwa akili ya ziada inatumika kufanya counter attack kwa kila hujuma inayojitokeza ili kuhakikisha kuwa mgombea Tundu Lissu anabaki kuwa focused kwenye line of actions....!
 
.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
Sasa kama hapa nchini kwetu huo umri haujaongezwa, tatizo liko wapi? Mpka Mseme mnahujumiwa. Wakati hayo ni matakwa ya sheria.
 
Hiyo kampuni hawawezi kwenda kuomba kibali kama hawajawahi kufanya hivyo! Watakuwa ni wapuuzi wa kuomba kibali ambacho wanajua hakipo. Je, hao TCAA huwa wanatoa vibali kwa pilots above 65 YO?
Kama hawatoi basi hiyo kampuni ni wapuuzi na kama wanatoa waweke vigezo walivyotumia kufikia hitimisho hilo.
Mkuu BAK tuwape pongezi viongozi wa Mamlaka kumzuia huyo rubani kurusha chopa maana wangeruhusu na ajali ikatokea, siyo wewe wala viongozi wa CHADEMA wangekubali maelezo. Heri lawama kulika fedheha wahenga walinena
 
Suala si idadi ya watu ila ujumbe unaofikishwa. Hadi sasa Lissu anachimbia kaburi lake la kisiasa kwa hoja na lugha anayotumia.

Anavyoona umati wa watu kwenye kampeni za Magufuli, wengine wakimsimamsisha njiani anadhani njia sahihi ni kumkejeli kwenye kampeni zake
Hapo sasa.
 
tuliongoea hum kwamba maridhiano , tulimanisha sana but ngoja twende , ukiambiwa ama zko ama zangu na wakati wajua uzito ulio nao jipange sana , msingida anajua anacho kifanya
 
Back
Top Bottom