Uchaguzi 2020 TCAA yawajibu CHADEMA, yasikitishwa na upotoshaji wao

CDM hawakuhitaji kujibiwa na mamlaka ya anga walihitaji majibu kutoka kwa mtoa huduma waliemkodi. Sasa ilikuaje mpaka wanafika uwanjani ikiwa wahusika wa ndege husika walishapewa majibu tangu Jana.
Hawa wahusika wa ndege nadhani wameshindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo kwa mteja wao CDM na inabidi walipe fidia ili wajifunze kutochezea muda wa wateja.
Wangetoa taarifa mapema CDM wangejipanga kuona njia mdadala ya kutumia kukamilisha ratiba..

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
kwa andiko lako hili mkuu so wamanisha mtu mzee hastaili kuishi , kwamba kama rubani mzee akipata ajalia ni sawa au ila kwa kijana sio sawa?
 
Reactions: BAK
Tangu lini ccm ikafuata dheria?
Sasa mbona nyie mnaojua kufata Sheria,mnataka kupingana na Sheria ya umri wa marubani wenye kukidhi vigezo vya kurusha ndege🤔? Au ndo kusema na nyie leo mmeamua kuiiga CCM?
 
Mkuu 👏👏 atakaeshindwa kuelewa hapa,Basi atakuwa na matatizo ya ubongo.
 
Ccm tafadhali tunaomba mrudishe nchi yetu toka mikononi mwa mhutu mliokoikabidhi , mnaona mnakoipeleka nchi , mnataka kutuletea shida zisizokuwa na sababu , jitu linaloongoza nchi kwa akili na mawazo ya dark ages hata siasa ya elimu ya sekondari halikusoma , haliijui
 
Mbona watu kiduchu, ndio Bagamoyo hiyo? Duh.
Suala si idadi ya watu ila ujumbe unaofikishwa. Hadi sasa Lissu anachimbia kaburi lake la kisiasa kwa hoja na lugha anayotumia.

Anavyoona umati wa watu kwenye kampeni za Magufuli, wengine wakimsimamsisha njiani anadhani njia sahihi ni kumkejeli kwenye kampeni zake
 
Hili nililitegemea maana hata ukiangalia ile barua ya chadema wanakwambia eti TCAA wametaja sababu zisizoeleweka ila hawakuziweka hizo sababu kwenye barua yao. Hii mijitu imekuwa ya ajabu sijawahi ona. Makosa yanakuwa kwao ila haraka inakimbilia kwa wananchi kupotosha ili ionewe huruma. Kwa utoto wa saizi hii Tobo Lissu Ikulu utaendelea kuisikia tu kumguru wewe
 

We ndo kichwa maji..kwann wakatae na ni world wide inajulikana kwamba kama kuna uhaba mnaongeza age kidogo ...
 
Reactions: BAK
Kafungue Uzi wa haya malalamiko yako tutakuja kukuelewesha. Kwasasa acha tushughulike na mada husika.
 
Kama chadema ile barua yao ingepeleka lawama kwa mtoa huduma wao basi TCCA wasingejibu chochote, tatizo ile barua ya chadema ilisema TCCA imewazuia kitu ambacho sio kweli
 

 
.... lakini hiyo article hapo juu imeonyesha baadhi ya Nchi duniani kutokana na upungufu wa pilots katika Nchi zao wameongeza umri huo hadi miaka 67 na Nchi nyingine ziko mbioni kuongeza umri huo.
Sasa kama hapa nchini kwetu huo umri haujaongezwa, tatizo liko wapi? Mpka Mseme mnahujumiwa. Wakati hayo ni matakwa ya sheria.
 
Mkuu BAK tuwape pongezi viongozi wa Mamlaka kumzuia huyo rubani kurusha chopa maana wangeruhusu na ajali ikatokea, siyo wewe wala viongozi wa CHADEMA wangekubali maelezo. Heri lawama kulika fedheha wahenga walinena
 
Hapo sasa.
 
tuliongoea hum kwamba maridhiano , tulimanisha sana but ngoja twende , ukiambiwa ama zko ama zangu na wakati wajua uzito ulio nao jipange sana , msingida anajua anacho kifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…